Rais Magufuli atoa pole kwa familia ya Mzee Sugwa

Dunia yakoo

Senior Member
Nov 23, 2019
139
214
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli atoa pole kwa Familia ya Mzee Sugwa aliyefiwa na mkewe Bi. Sabina Ndege Kilanda na mwanae Shija Sugwa katika kijiji cha Katende Wilaya ya Chato Mkoani Geita. Novemba 30, 2019

FB_IMG_1575130357195.jpg
 
Tupeni stry imekuwaje...walikifa lin?umri hup kufiwa na mke ni kawaida...sio kawaida umri km Gambo afiwe na mke!ila ni kawaida Kabudi afiwe😅!just saying
 
Amefanya jambo jema kusalimia majirani wa zamani.
Kweli kabisa, mzee huyu kipindi cha utawala wake hapo (m/kiti)kijijini jeshi lake la sungusungu lilikuwa vizuri huenda ameenda kujifunza mbinu za kijeshi. Hongera zako mzee sugwa uliacha ualimu na kuwa mwanasiasa na ukakomesha ujambazi hapo katende.
 
Back
Top Bottom