Nilikuwa na ex wangu, nilimpenda sana. Yeye alikuwa na tatoo sema kwa mgongo nilimkuta nayo. Shida yeye alikuwa influenced na movie na utoto. Nilikaa nae and tabia zake hazikuwa hivyo watu wengi wenye tatoo wanavyohisiwa. Kuna kipindi tuliachana alienda ongeza zingine. Aisee nikamwambia utapata...
Mimi naombeni mnitag Iryn akiliwa.
To be honest kwa jinsi unavyo describe how Iryn is na kila anaekutana nae anamsifia. Then mko wavuvi mnacheza zero distance full kunyegeshana then mnafika home alafu unapokea simu unasepa????????????????
INSIDER HAPO UTAKUWA UNAKOSEA SANA.
Hata the best movies in the world hazikosi critics, unfortunately JF hawana option ya kuenyesha viewership ila I am sure kuna watu wengi wanafuatilia your story kuliko sisi critics. You can stop a story just because few of us tuna question the realistic of the...
Malezi nitakubaliana na wewe. Ila wazazi wake bado ni africans. Mtu asomeshwe mpaka nje alafu aje afanye kazi ya massage tena Bongo. Alikuwa na access ya kwenda other places kama Dubai, paris au hata london sio Bongo. Pia kuhusu bei ya 1500$ sikatai people pay mpaka 10,000$ massage ila very rare...
Nimekuwa nikifuatilia story tokea episode one. Kuna kipindi na doubt kama ni fiction ila sasa INSIDER anakupa zile details za ndani mpaka unasema mtu hawezi kutunga. Kama hii episode ya mwisho alivyo describe the horizon, kuanzia games zilizokuwepo. Picha kwenye kile kidaraja na cost za kwenda...
Nakupa option zifuatazo.
1. Kuna mdau kaongelea hizo deal za wahindi yaani kuna mtu yuko bongo ana hio cash na wewe uko huko so hizo unaacha huko unakuja kupokea huku at a reasonable cost lets say 10% of the amount
2. Deposit kwenye online gambling site. This is a very good method to clean it...
Ni group la whatsapp la wake wa viongozi hasa wale ambao waume wao wako na post kubwa. Waziri, RC, speaker na kuna wake wa maraisi pia ambao ni walezi wa hilo group.
Nimefanya uhuni mwingi sana, ila MKE WA MTU is my limit aisee. The risk is not worth at all. Kuna pisi kibao fresh za 2000s huku kali kinouma, why ni risk maisha yangu na mali ya mtu alietolea mahari kabisa. Yaani jaribuni kujiweka kwenye kiatu cha mwenye mali, yaani akatoe mahari, akae vikao...
Binafsi mimi nikitoka out lazima nimpe mhudumu tip na nitawaeleza faida yake. Kwanza unatengeneza mahusiano ya customer service, kuna baa maarufu Dar nikiendaga yaani yule mhudumu akiniona napata service nzuri sana. Yaani kama mm mtu wa kunywa JD sijui barafu zimekata utakuta kila saa anapita...
Hii ni counter attack umenikumbusha kisa kimoja kama hiki. Nilikuwa na pisi nilipewa namba nikawa nachat nayo tu. Sasa siku hio pisi ilikuwa inaenda kujiandaa na graduation so ikaaga home kuwa inaenda kulala hostel ili kesho awahi kumbe alikuwa anaenda kwa bwana wake. Sijui ilikuwaje ila siku...
Mimi nilipenda pisi hio ya kihaya kipindi niko chuo huko 2009. Manzi alikuwa sijui kaniroga maana Yaani nilikuwa sisikii si ambiwi chochote. Sasa mimi nilikuwa kichwa sana class kwenye uchumi so manzi ndio nilimpatia hapo bila kujua hakunipenda bali alikuwa ananitumia ili apate GPA nzuri. Dadeki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.