- Thread starter
- #21
Tip ni kumfanya a keep change mfani umetoa not ya lfu kumi umetumia 9200 unamwacha aishi na 800
Sio utoe pesa mfukoni huo ni utahira
5% ya gharama ulizotumia ni mbaya?
Tip ni kumfanya a keep change mfani umetoa not ya lfu kumi umetumia 9200 unamwacha aishi na 800
Sio utoe pesa mfukoni huo ni utahira
Waigizaji tu hawa kuiga iga mambo
Kwani hawalipwi mshahara!?
Pesa yangu inani-limit ninywe bia mbili na kitimoto sasa hapo tip inatokea wapi? Mtu akifanya kazi anayostahili si lazima kumpa tip
Huu utamaduni wa tip una ulazima gani??? Sijawahi kuuelewa kabisa.
Huyu si muajiriwa? Si analipwa kwa huduma anayotoa???
Kwa Africa tusivyo wastarabu huu utaratibu utaleta madhara makubwa, wahudumu wakishazizoea sana hizo tip wakizikosa wanakuwa wezi, hivi karibuni nilikwepo Bonasera Mwanza muhudumu alizidisha Tsh 30,000 makusudi kabisa.
Ukifatilia wengi wanamichezo inayotegemea hizo tip, wakizikosa Inabidi wafanye ujanja ujanja.
Binafsi naona bora hiyo mnayoiita tip nimpe mama muuza mboga ambae anafukuzia faida ya 2000 kwenye mtaji wa 7000 ili apate mlo wa siku.
Personally hua natoa tip.
Lakini inategemeana na huduma, ukiniletea kisebengo nakudai hadi mia. Ntakufuata hadi dox unipe mia yangu
Nikipata huduma nzuri natoa tip siangalii jinsia, ke me wote nawapa....na sio bar tu hata saloon
Beba si amekubali mwenyeweKama ni mdogo wako wa damu waniruhusu niondoke naye?
Unaweza mchunga mtu mzima??
Hayajakufika
Sio maliza shift unamtafuta manager unampiga mkwanja unaondoka na pisi ukajilie vyako mpka shift iishe muda umeisha. Mambo mengi muda mchacheNdio ile maliza shift twende 🤣🤣🤣
Nilienda kwenye bar ya mshkaji wangu japo sinywi pombe kama safari kili castle hazishuki kabisa naona chungu sana, nikaagiza robertson ndogo na coke ninywe nikimsubiri na muhudumu hanijui basi nimekunywa mpka ikakata mwamba hajafika nikaomba bill yangu nikaletewa 40k nikauliza imekaaje hii muhudumu akanijibu kirahisi ndio bei yake.Huu utamaduni wa tip una ulazima gani??? Sijawahi kuuelewa kabisa.
Huyu si muajiriwa? Si analipwa kwa huduma anayotoa???
Kwa Africa tusivyo wastarabu huu utaratibu utaleta madhara makubwa, wahudumu wakishazizoea sana hizo tip wakizikosa wanakuwa wezi, hivi karibuni nilikwepo Bonasera Mwanza muhudumu alizidisha Tsh 30,000 makusudi kabisa.
Ukifatilia wengi wanamichezo inayotegemea hizo tip, wakizikosa Inabidi wafanye ujanja ujanja.
Binafsi naona bora hiyo mnayoiita tip nimpe mama muuza mboga ambae anafukuzia faida ya 2000 kwenye mtaji wa 7000 ili apate mlo wa siku.
Nilienda kwenye bar ya mshkaji wangu japo sinywi pombe kama safari kili castle hazishuki kabisa naona chungu sana, nikaagiza robertson ndogo na coke ninywe nikimsubiri na muhudumu hanijui basi nimekunywa mpka ikakata mwamba hajafika nikaomba bill yangu nikaletewa 40k nikauliza imekaaje hii muhudumu akanijibu kirahisi ndio bei yake.
sawa nikalipa mwamba akaja akataka kulipia nikamwambia tayari nimelipa,kibaya jamaa akamwambia muhudumu arudishe hela atalipa tulimaliza maongezi bas demu akarudisha 20k ikabidi nimuulize hiyo 20k nyingine imelipia nn mwamba aliwaka pale pale akavuta uzi kwa muhudumu mwingine yule dem kibarua kikaota nyasi fasta nilijiskia vibaya ila sio siri alikua anajifaidisha na kuharibu biashara ya mshkaji.
Kweli maslahi ya wahudumu yanatakiwa yazingatiwe ila wanazingua pale wanapoamua kuharibu biashara inaumiza sio siri
Wahudumu wa kibongo wanakatisha tamaa maana kabla ya tip ashaongeza bei kwenye vinywaji na chakula.
Me nmeshindwa kusomaHabari zenu ndugu zangu, natumaini muwazima! Leo ningependa kushare na nyie hiki nilichokiona. Naimani kina ukweli ndani yake.
Je unapokuwa kwenye mtoko, wewe hutoa tip kwa muhudumu kwa huduma nzuri aliyokupatia? Je ni kiasi gani wewe hutoa ukilinganisha na bili yako? Kwanini wengi hutoa tip kwa warembo tu kwakuwa tunawataka? Je ni sawa kumuacha kaka au dada mtafutaji bila tip? Unafanyaje unapokuwa na mpenzi wako na unataka kutoa tip kwa mdada au mkaka ikiwa wewe ni jinsia tofauti na muhudumu bila kuonekana kuwa unamtaka? Sidhani kama unaweza kumuacha ndugu yako sehemu yeyote anafanya kazi ya kuhudumu bila kumpa tip, wengine hawawezi kuacha kumpa tip mtu anayemfahamu, anatoka naye mkoa au kabila moja au alisoma naye? Vilevile kwanini huyu aliyepewa tip asielewe tu kuwa ile ni tip isiyotaka ya ziada, maana utakaporudi utachangamkiwa zaidi na hata kupewa namba mixer kujirengesha hasa kwa wadada!? Hii imekaaje wakuu?
Sisi tunaopata huduma kwenye vyombo vya usafiri sasaHabari zenu ndugu zangu, natumaini muwazima! Leo ningependa kushare na nyie hiki nilichokiona. Naimani kina ukweli ndani yake.
Je unapokuwa kwenye mtoko, wewe hutoa tip kwa muhudumu kwa huduma nzuri aliyokupatia? Je ni kiasi gani wewe hutoa ukilinganisha na bili yako? Kwanini wengi hutoa tip kwa warembo tu kwakuwa tunawataka? Je ni sawa kumuacha kaka au dada mtafutaji bila tip? Unafanyaje unapokuwa na mpenzi wako na unataka kutoa tip kwa mdada au mkaka ikiwa wewe ni jinsia tofauti na muhudumu bila kuonekana kuwa unamtaka? Sidhani kama unaweza kumuacha ndugu yako sehemu yeyote anafanya kazi ya kuhudumu bila kumpa tip, wengine hawawezi kuacha kumpa tip mtu anayemfahamu, anatoka naye mkoa au kabila moja au alisoma naye? Vilevile kwanini huyu aliyepewa tip asielewe tu kuwa ile ni tip isiyotaka ya ziada, maana utakaporudi utachangamkiwa zaidi na hata kupewa namba mixer kujirengesha hasa kwa wadada!? Hii imekaaje wakuu?

Binafsi mimi nikitoka out lazima nimpe mhudumu tip na nitawaeleza faida yake. Kwanza unatengeneza mahusiano ya customer service, kuna baa maarufu Dar nikiendaga yaani yule mhudumu akiniona napata service nzuri sana. Yaani kama mm mtu wa kunywa JD sijui barafu zimekata utakuta kila saa anapita kuhakikisha niko poa. Mhudumu siku nyingine labda nimekuja na wana tuko kinyonge tunaweza mtuma akatuletea pisi pale pale. Kuna siku ndio nilikuja kuamini bwana hawa wahudumu wanajua watu. Tulikaa mahali masela kama kawa tunakunywa na kucheki game. Akaja mbaba wa makamo hivi ku join meza huku akiwa anaongea sana trying to blend with the squad. Sasa mm nikatoka kwenda washroom yule mhudumu akanidaka akaniambia yule jamaa ni shushu so tuwe makini na vitu tunavyoongea mbele yake. Aisee na vile sisi tulikuwa UKAWA damu ikabidi nitonye wana. Ni mengi naweza adisia ila ukiwa mtu wa bar jaribu kujenga hayo mahusiano, ila usije ukamla![]()