Recent content by wajaleo

  1. wajaleo

    JamiiForums Tanzania kiwanja kinauzwa kange-tanga mjini 10mil

    maeneo ya majani ya chai
  2. wajaleo

    JamiiForums Tanzania kiwanja kinauzwa kange-tanga mjini 10mil

    ni maeneo ya makazi ya watu,bei poa hyo kbsa,mwanzo nlikataa ofa ya mil 15,sasa hv vyuma vimekaza,kina offer na land lease
  3. wajaleo

    JamiiForums Tanzania kiwanja kinauzwa kange-tanga mjini 10mil

  4. wajaleo

    JamiiForums Tanzania Serikali yakerwa kufukuzwa wanafunzi Ndanda

    thats it
  5. wajaleo

    JamiiForums Tanzania cHeKA kiDoGo tuuu, inatosha sana

    daah kevi nooma.
  6. wajaleo

    JamiiForums Tanzania Watumishi 9000 wapya kuajiriwa Wizara ya Afya

    Hii wizara ni ya afya na ustawi wa jamii ila marazote nasikia afya tu hawa watu waustawi wajamii'sociology'hawatajwi kabisa hata katika nafasi za kazi wala takwimu zao hatupewi..Kama vipi wangepewa wizara yao hapa naona kama wamekuwa wanasindikiza wanashindwa kuwajibika.
  7. wajaleo

    JamiiForums Tanzania Faida ya kitunguu maji katika mwili wa binadamu

    Sawa mkuu ila inaonesha ugonjwa wangu ukondani kwasababu nikitumia dawa za kupaka unapona ila unarudia nikiacha.
  8. wajaleo

    JamiiForums Tanzania Samahani nilifikiri umekufa

    Mi nimefanana na mfu ila we umekufa kiakili.This is jf bana not kidscorner.
  9. wajaleo

    JamiiForums Tanzania Mhhh! types of coffee!

    Tehe tehe.Hiyo kali mkuu.
  10. wajaleo

    JamiiForums Tanzania Faida ya kitunguu maji katika mwili wa binadamu

    Mkuu mimi tatizo langu ni ugonjwa wa ngozi ni wasiku nyingi,nimetumia dawa nyingi za hospitali bila mafanikio unaacha halafu unarudia.Unakuwa kama m-ba sugu kichwani na usoni.Ningeomba msaada wako mkuu.
  11. wajaleo

    JamiiForums Tanzania Simulizi Ya Kahaba

    Inaniogopesha!Thats nice mkuu!
  12. wajaleo

    JamiiForums Tanzania Misamiati mipya hii hapa

    Sawa mkuu.
  13. wajaleo

    JamiiForums Tanzania Ngo,ngo,ngo!Hodii!

    Hodi wana jf,mi nimpya humu.Naomba ushirikiano wenu.
Back
Top Bottom