Recent content by wailer hov

  1. wailer hov

    JamiiForums Tanzania Leo ni maadhimisho ya mziki wa Reggae Duniani, msanii gani au wimbo gani wa Reggae bora kwako?

    How about Jah say no-Peter Tosh
  2. wailer hov

    JamiiForums Tanzania Magari gani yamejazana gereji?

    Kwema, bado ipo? Na ni defender toleo gani? Asante.
  3. wailer hov

    JamiiForums Tanzania Walioingia Kursk hawawezi kutoka hata mmoja.Ukraine iwache kutuzuga.

    Huo ni ukweli media za West zinajaribu kumchora vibaya Putin lakini jamaa yupo smart Sana kuliko West nzima kiuchumi anazidi kurecover kutokana na vikwazo alivyowekewa
  4. wailer hov

    JamiiForums Tanzania Walioingia Kursk hawawezi kutoka hata mmoja.Ukraine iwache kutuzuga.

    Sio kweli iliondoka Kiev baada ya askari wengi kufa, ila baada ya makubaliano ya Instabul March 2022 Urusi wakaiachia Kiev as good will ya makubalianilo ila soon Zelenskyy alienda kwenye media na kuongea tofauti. Unakumbuka ishu ya Bucha?
  5. wailer hov

    JamiiForums Tanzania Vita ya Ghaza imesimamishwa kimya kimya

    Gaza sio Ghaza, Inaonesha sio inaonsha. Wangeficha sio wagficha
  6. wailer hov

    JamiiForums Tanzania IELTS na TOEFL ni upuuzi kwa baadhi ya nchi

    650,000-800,000
  7. wailer hov

    JamiiForums Tanzania Nauliza Kwanini Simba huwinda twiga, tembo na kiboko lakini sio faru?

    Firstly, rhinos are formidable and powerful animals, possessing tough, thick skin and large, intimidating horns. Lions, known for their collaborative hunting strategy and agility, generally target prey that is more manageable, such as ungulates like wildebeests, zebras, or smaller mammals...copied
  8. wailer hov

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni kuwekeza sana kwenye decorations za duka badala ya stock

    Hajasema kuwe hovyo kasema pendezesha kiasi ukipata faida pendezesha zaidi
  9. wailer hov

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lucky Dube hatambuliki kama muasisi ama legend wa muziki wa reggae duniani?

    The Wailing Wailers (Bob, Peter, Bunny) walifundishwa/mentored na Joe Higgs mwanzoni mwa 1960s, hapo tayari kina Jimmy Cliff, Toots and Mytals, Dennis Brown kusikika duniani. Bob Marley aliamini katika ONE LOVE Peter Tosh aliamini katika EQUAL RIGHTS Bunny Wailer yote. Hizo no slogans ni tofauti...
  10. wailer hov

    JamiiForums Tanzania Mamba waonekana Bwawa la Chemka

    Ni wilaya ya Hai sio Siha mkuu
Back
Top Bottom