Recent content by wago_wago

  1. W

    Askofu Methodius Kilaini naye alimegewa 80m za mbia wa IPTL

    Kwan kapewa na kiongozi Wa umma au taasisi ya umma???
  2. W

    Gari hii yauzwa sh 4.3m

    Nimeangalia vizuri ila cjaona bei hapo
  3. W

    JamiiForums Members Vs. TWAWEZA Tutafute Ukweli

    Huko c mnauhakika Wa kufanya umafia Wa kila aina na makshinda.
  4. W

    Askofu Methodius Kilaini naye alimegewa 80m za mbia wa IPTL

    Ndio maana kuna mda nilisema hawa waliopewa pesa ni wahanga tu.
  5. W

    Askofu Methodius Kilaini naye alimegewa 80m za mbia wa IPTL

    Na chaajaabu zaidi.rugemalila aliwaonya serikalu juu ya ujanja ujanja ambao kuna watu wanataka kuufanya.refer aliyoyasrma mbrle ya kamati na alitoa tahadhari kwa barua.lakini serikali kwankua ilishazipgia deal izo pesa ikaweka masikio pamba.rugemalila kama mfanya biashara anahaki ya kuhuza hisa...
  6. W

    Askofu Methodius Kilaini naye alimegewa 80m za mbia wa IPTL

    Kwanza ijulikanr kabise rugemalila alilipwa pesa zake halali.ila yeye pia a limit a had garish a serikali kuhusu uchotwaji Wa hizo pesa akiitaka serikali iangalie kwa makini ilo suala kua kuna wajanja wamepanga kukwapua izo hizo.yeye kama mbia alikua na haki ya kuuza visa zake na alifanua hivyo...
  7. W

    Jay Dee alipigwa na mume wake au?

    Fanya ivi.ubonyeze kitufe cha kupunguzia sauti na cha kuzimia kwa pamoja unakua unafanya screen shoot.kama unavyoona wenzako wamebandika kurasa nzima za instagram.then unasave kwenye simu yako
  8. W

    Jay Dee alipigwa na mume wake au?

    Bora kabisa.yaaan MTU mzima anakua n mambo ya kitoto ya akina wema na diamond.sasa hapo unguli wake vijana watajifunza nini!!kukaa kimya nayo ni busara pia..
  9. W

    Jay Dee alipigwa na mume wake au?

    Huyu dada anamdhalilisha hata Huyo nyoka anakonda .na.komando kipensi alikua mvumilivu anakul adi nyungunyunga na vipanya pori .ila huyu katiwa makofi tu kelele kibao.hako kakidole ndo kapigwa!!!dahhhh angeenda kwao Mara akaona wanaopigwa.watu adi papuchi inabanikwa kudadeki kwenye moto ila...
  10. W

    Jay Dee alipigwa na mume wake au?

    Ivi ukiuliza ndo hutakiwa kutoa vielelezo ??hakuna povu naongea kiroho saafi sana.tatizo kuna watu wanaharaka ya kutoa post Wawe Wa kwanza jamvini bila kutafiti walau kidogo.alafu unamuegemea MTU mmoja kisa jinsia yake tu.hata mambo ndo yamepelekea Kenya wanaume wameanza kupigwa na wake...
  11. W

    Jay Dee alipigwa na mume wake au?

    Ndo maana nimesema aliepost hii kitu ni mbeya tena mshambenga.alishindwa nini kuleta habari nzima kama huyu jamaa aliepost na picha za instagram tukaona alichoandika jide.yaaan unaleta habari nusu alafu unataka watu tukuelewe kama we ulivyoelewa...ebo ..!!!magazeti ya udaku yamewaharibu sana na...
  12. W

    Jay Dee alipigwa na mume wake au?

    Anatafta Huruma ya wanajamii hana lolote.anajidai mbabe Mara anakonda cjui komandoo kipensi kumbwe hana kitu anadundwa!!
  13. W

    Jay Dee alipigwa na mume wake au?

    Wewe ni mbeya kwan kila anaepost kaumia kapigwa??lbda alijibana na mlango au alianguka!!!angepost chupi ilochanika napo ungesema alibakwa na mumewe!!!hebu tuache ushadidu kwa vitu tusivyovijua
  14. W

    List Ya Matajiri 50 Afrika Watanzania Wako Wanne

    Na yule bilionea Wa instagram mjeda cjamuona humu
Back
Top Bottom