Recent content by wago2011

  1. W

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma: Ziara ya Mgombea Urais kwa tikeki ya CHADEMA, Edward Lowassa

    Mabadiliko kwanza mengine baadaye
  2. W

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma: Ziara ya Mgombea Urais kwa tikeki ya CHADEMA, Edward Lowassa

    Hata akiwa yupo mahutiuti hospital atapewa kura yangu akipona atamkuta mtu wa kumkabidhi ikulu na kumwapisha wanamsubir
  3. W

    JamiiForums Tanzania Lowassa Afunika Iringa

    Kwenye kampani ata akiweka shart tu na tukaambia lowasa hataka kuja ila shart lake lipo tutaenda tu na 25/10 anapewa kura yangu awe ICU au nje ya nje au wapi atapewa kula tu .hivyo hatutaki kujua kasimama dakika ngapi ila subiri awe madarakan ndo mtajua pa kyjifichà
  4. W

    JamiiForums Tanzania Hivi kipimo cha Typhoid kinaweza chukuliwa kwa dk 15?

    Hapanna ni SAA moja ndipo unapewa majibu
  5. W

    JamiiForums Tanzania Jichagulie fursa ya biashara na miradi hapa (Fursa 150)

    Khs mpesa tigo pesa na airtel money mi ndo nataka iyo biashara psmoja na kuuza vocha ila tatizi upatikanaji wa hizo lain ndo shida sana
  6. W

    JamiiForums Tanzania Hatimaye CHADEMA yawabadilisha watu wa Mbinga Mkoani Ruvuma

    Hizo zinakuja
  7. W

    JamiiForums Tanzania Hatimaye CHADEMA yawabadilisha watu wa Mbinga Mkoani Ruvuma

    Hiyo picha ndo mbinga mjini
  8. W

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

    Barc ndo timu
  9. W

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu tanzania kwa mwaka 2014-2015

    Subirini yenye nembo
  10. W

    JamiiForums Tanzania Eti ni kweli bundi akilia karibu na nyumba lazima mtu afe?

    Bundi ni ndege mzuri na ameumbwa km ndege wengine walivyo ila binadamu huwatumia vibaya ni sawa na binadamu kumtumia paka au njiwa ktk imani zakishirukina
  11. W

    JamiiForums Tanzania msaada Apa:benk nzuri

    Hapana ndan ya miez mitatu huruhusiwi kutoa zaidi ya Mara 2 na ukitoa zaid ya Mara 2 unapoteza bonus ila faida yakawaida unapata ambapo ni 3%
  12. W

    JamiiForums Tanzania Ni haki kumwabudu marehemu?

    Kimsingi si sahihi na hata kibiblia pia c sahihi na nikosa kubwa Hakuna ibada ya wafu pia na MTU akifa ni hukumu nyinyi hata mkiomba Mara mia kwa cku haisaidia ushauri ACHENI KUTENDA MABAYA JIFUNZENI KUTENDA MENA
  13. W

    JamiiForums Tanzania msaada Apa:benk nzuri

    Nmb fungua a/c ya bonus
  14. W

    JamiiForums Tanzania Jamani Condom zipi ni nzuri?

    Tuwekane waz kondom kwa mkeo kweli????
  15. W

    JamiiForums Tanzania Intervew NMB

    Nmb hawana ubaguz confidence ya muhimu hats km umeenda chaka maswali ya general ndo wanauliza sana km ya darasan no machache San ila mi sikuulizwa swali LA darasan hata moja pia jua product za nmb na wamiliki wa nmb ktk hisa
Back
Top Bottom