tehetehe anasema kwa taarifa alizokuwa nazo ni kwamba ajira mwezi wa saba na kilichokuwa kinapelekea huko ni suala la kura ya maoni na serikali ilikosa pesa za kuwapa walimu za kujikimu. sasa anasema kwakuwa mchakato wa katiba umesitishwa basi huenda ndani ya mwezi huu wakati wwt jamaa wanaweza wakaachia coz kinachofanyika sasa ni kutafuta pesa na zitumwe kwenye halmashauri kwaajili ya kujikimu. hizi ni kudra za mwenyezi mungu tu.hii ni kauli ya viongozi mwandamizi serikalni
Mbona hilo tanganzo halina nembo ya serikali. Document kama ni ya kiserikali kweli,hata kama haijagongwa mhuri basi angalau iwe na nembo yake (bibi na bwana). Anyway labda kuna ukweli
Mbona hilo tanganzo halina nembo ya serikali. Document kama ni ya kiserikali kweli,hata kama haijagongwa mhuri basi angalau iwe na nembo yake (bibi na bwana). Anyway labda kuna ukweli
hiyo feki kwanza haina nembo pili haina muhuri tatu format mbovu sijawahi ona kama mtoto wa veta anajifunza kutumia word ameshindwa hata ku align. kosa jingine haijasainiwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.