They free to express their thoughts but they will be expected to implement Trump plans. So their thoughts are nothing like Trump propaganda Minister Kellyanne Conway
Tumaini is good hata wakristo mpaka leo wanatumain yesu atarudi tena miaka 2017. Na Chadema huenda wakasubiri hayo matumaini muda mrefu. Ila haki haiombwi huwa inachukuliwa kwa gharama yeyote ile. Kama wanahaki chukueoni
Nani mwenye ubavu, mzee wa ukuta wa biscuit ametekewa na kuchanganyikiwa, Maumvi na Zero hawampi nondo kama Dr Slaa alivyokuwa anafanya, Mashinji duu,yeye arudi tu kutibu siasa hawezi tena.
Pole Deo ila kuna kazi nyingi za kufanya sio siasa tu, kwa ubunge ni ufalme. Kabla hujavua nguo hadharani tafadhali muone
Psychiatric aliye karibu akusadie.
Kabla ya kuuliza ufahamu wa wenginne jiulize mwenyewe kama unafikiria sawa au uko influenced na mahaba. Pili wewe umeifanyia nini Tanzania hapo ulipo. Ni rahisi sana kutoa lawama kuliko kujiuliza maswali magumu kabla ya kulaumu wegine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.