Rais Magufuli umemsikia Trump kuhusu kuwapa uhuru watumishi wako kufanya kazi kwa uhuru?

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
12,485
50,889
Check out @realDonaldTrump's Tweet:

Kama kweli anataka kufanikiwa rais Magufuli anatakiwa kujifunza kwa Trump jinsi ya kuendesha nchi .

Sio kuingilia majukumu ya mawaziri wakati ukiwa mkuu wa nchi.

Mfano hicho kiwanda alitakiwa kukifungua Mwijage sio rais .

Rais anatakiwa kudeal na mambo makubwa ya nchi sio kwenda kila sehemu kuingilia majukumu ya wakuu wa wilaya mikoa na mawaziri .

Ndio maana wananyamaza sana.
 
They free to express their thoughts but they will be expected to implement Trump plans. So their thoughts are nothing like Trump propaganda Minister Kellyanne Conway
 
Kufungua kiwanda si ajabu na si vibaya pia.
 
Mhe.Rais wetu naye lazima awe "by himself" hatakiwi kuiga kila anachokifanya Mhe.Trump.Hizi ni nchi mbili tofauti kabisa.
 
They free to express their thoughts but they will be expected to implement Trump plans. So their thoughts are nothing like Trump propaganda Minister Kellyanne Conway
Hiki Ki-english kina matege kidogo, naamini ukitumia tena muda sawa na uliotumia kutunga hizo sentensi utaweza kukiboresha!!
 
Back
Top Bottom