Kwani baba yake ndiye mgombea?
Kwa maoni yangu huyu baba hajamtendea haki mwanae kwa sababu siasa sio kama ndoa kuhitaji idhini ya walii, na hata akitoa laana haitamfika mwanae kwa sababu ili kukosa radhi ya mzazi, jambo lenyewe lazima lipate karmic justification kupitia karma. Role ya mzazi kwenye siasa ni advisory only na sio decisive, yaani mzazi ana mamlaka ya kushauri tuu na sio kumuamulia mwanae kama ilivyo kwenye ndoa mzazi anashauri tuu na mwamuzi ni wewe.Baba mzazi wa mgombea wa CCM ubunge wa Dimani amejitokeza hadharani na kumkana mwanae kuwa hiyo njia aliyoifuata hana radhi nayo kabisa.
Hilo sio jambo la kawaida, ni vema asisubiri kushindwa na kisha kwenda kumuangukia mzazi wake. Yeye ajitoe tuu kwani hata mwasisi wa chama hicho Mwl Nyerere aliwahi kusema CCM sio baba au mama yangu akimaanisha anaweza kuikana lakini hawezi kuwakana wazazi wake.
Laana hiyo! Jiepushe nayo. Mzazi anaona mbali kwa talanta alizopewa na muumba. Na kwa vile kaja hadharani ni wazi alishakuambia faragha hukusikia
Kwa maoni yangu huyu baba hajamtendea haki mwanae kwa sababu siasa sio kama ndoa kuhitaji idhini ya walii, na hata akitoa laana haitamfika mwanae kwa sababu ili kukosa radhi ya mzazi, jambo lenyewe lazima lipate karmic justification kupitia karma. Role ya mzazi kwenye siasa ni advisory only na sio decisive, yaani mzazi ana mamlaka ya kushauri tuu na sio kumuamulia mwanae kama ilivyo kwenye ndoa mzazi anashauri tuu na mwamuzi ni wewe.
Kugoma kusikiliza ushauri wa mzazi hakuleti laana bali kunapunguza tuu ile peace of mind ila akishinda na kuitumia ile dawa ya "penye uzia ",hamtaamizi macho na masikio yenu mzazi huyó huyo akiibuka kumpongeza mwanae!.
Nashauri tusishabikie sana tofauti ya baba na mwanae, hao ni wagombanao tuu na ndio wapatanao mwisho wa siku damu ni mzito kuliko maji, hata kura baba atampigia mwanae na watapatana na kuwa wamoja.
Kuna watu ni kama Waarabu wa Pemba, hujuana kwa vilemba.
Paskali
Ni kweli ni jukumu la mzazi kumuelekeza mwanae njia iliyo sahihi as advisory only but not giving orders or dictating terms.Mzazi anawajibika kwa matunzo ya mtoto wake mpaka siku anaingia kaburini.Mzazi akiona mtoto anajenga urafiki na kundi lisilo na maadili yanayompendeza mzazi ana uhalali wa kumuonya.Wazazi wengine hawapendi dhulumati hivyo hawatafurahi kijana wao akijiingiza kwenye kundi kama hilo.Nahisi Mzazi katimiza wajibu wake.
Baba mzazi wa mgombea wa CCM ubunge wa Dimani amejitokeza hadharani na kumkana mwanae kuwa hiyo njia aliyoifuata hana radhi nayo kabisa.
Hilo sio jambo la kawaida, ni vema asisubiri kushindwa na kisha kwenda kumuangukia mzazi wake. Yeye ajitoe tuu kwani hata mwasisi wa chama hicho Mwl Nyerere aliwahi kusema CCM sio baba au mama yangu akimaanisha anaweza kuikana lakini hawezi kuwakana wazazi wake.
Laana hiyo! Jiepushe nayo. Mzazi anaona mbali kwa talanta alizopewa na muumba. Na kwa vile kaja hadharani ni wazi alishakuambia faragha hukusikia
Ukoo wa matapeliBaba mzazi wa mgombea wa CCM ubunge wa Dimani amejitokeza hadharani na kumkana mwanae kuwa hiyo njia aliyoifuata hana radhi nayo kabisa.
Hilo sio jambo la kawaida, ni vema asisubiri kushindwa na kisha kwenda kumuangukia mzazi wake. Yeye ajitoe tuu kwani hata mwasisi wa chama hicho Mwl Nyerere aliwahi kusema CCM sio baba au mama yangu akimaanisha anaweza kuikana lakini hawezi kuwakana wazazi wake.
Laana hiyo! Jiepushe nayo. Mzazi anaona mbali kwa talanta alizopewa na muumba. Na kwa vile kaja hadharani ni wazi alishakuambia faragha hukusikia
Mmeanza Mitandaoni nendeni Mfanye kampeniTumia akili, Julius hakumpinga wala kumuonya Makongoro hadharani kwani alijua hazikuwa siasa za uhasama. Lakini huyu katoka hadharani na kutamka kuwa kafanya makosa kwani siasa za huko aliko sio siasa ni ushetani dhidi ya binadamu
Immeandikwa nyenyekea kwa wenye uwezo na mamlaka na kutiiWaheshimu baba na mama yako upate kheri na siku nyingi duniani. Hayo ndo mamlaka waliyopewa wazazi na Mungu wetu pekee, hizo mbwembwe zingine ni kiburi cha uhai tu.
Baba Ana ujuzi gani was siasa? Au ndo mihemko?Baba kaona mwanae kapotea hivyo anamshauri achague fungu lililo jema kabla ya kuharibikiwa.
Baba Ana ujuzi gani was siasa? Au ndo mihemko?
Politics,any one can say anything.Baba mzazi wa mgombea wa CCM ubunge wa Dimani amejitokeza hadharani na kumkana mwanae kuwa hiyo njia aliyoifuata hana radhi nayo kabisa.
Hilo sio jambo la kawaida, ni vema asisubiri kushindwa na kisha kwenda kumuangukia mzazi wake. Yeye ajitoe tuu kwani hata mwasisi wa chama hicho Mwl Nyerere aliwahi kusema CCM sio baba au mama yangu akimaanisha anaweza kuikana lakini hawezi kuwakana wazazi wake.
Laana hiyo! Jiepushe nayo. Mzazi anaona mbali kwa talanta alizopewa na muumba. Na kwa vile kaja hadharani ni wazi alishakuambia faragha hukusikia
Mpe kaisari ya kaisari. Habari ya baba kumchagulia mwana nini afanye haifai hata kidogo. Kila mtu amepewa karama zake binafsi. Hizo ni siasa za kishamba kweli kweli na ni aibu kushabikia ujinga huoInawezekana haridhishwi na tabia za wanasiasa wa chama alichopo mwanae.Anamchagulia fungu lililojema kama Mzazi.
Hata Mungu anasema Waheshimu Baba na Mama upate heri duniani.
Makongoro alishinda?Nilipoona umemtaja Mwl nyerere nikawa na hamu ya kusoma ili kujua...MAKONGORO ALIPATA LAANA GANI ALIPOGOMBEA ARUSHA KUPITIA UPINZANI KINYUME NA MATAKWA YA BABA YAKE!!!!!!!
Lkn sishangai..ninyi kula matapishi yenu ni kawaida...ni sehemu ya maisha...Maana muda ule mlisema MAKONGORO ni mtu mzima. ..ana hiari ya kuchagua
Lk leo mmegeuka kuwa ni laana...simply amekuwa kinyume na baba yake
Niwaombe mjitahidi kupiga kampeni...TENA KWA KWENDA FIELD. .KULE KWA WANANCHI JIMBONI..SIYO MITANDAONI...HUKU WENGI NI WABONGO TU...HAKUNA KURA YOYOTE HUKU...Ili mkishindwa msiseme mliibiwa kura wakati kampein mlipiga mitandaoni
Ni sawa na babu yenu mwaka juzi..2015 wakati Magufuli anakwenda Vijijin yeye slikuwa anakalia mijini...anatembelea miji mara mbilimbili...Aliposhindwa akapanua domo kuwa kaibiwa kura....
TAZAMA NIMEWAAMBIA KIMBELE
KUWENI MAKINI
Rais Pombe mwenye PhD doubts haiujui katiba sembuse huyu Mzee mkulima wa karafuuBaba huyo hajui kuwa mwanae ana umri wa kujitegemea?
Hajui iwapo anavunja katiba ya kila mtu kuamua chama gani ajiunge nacho??
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!