Nawakumbusha matokeo ya urais mwaka 2015

Nawakumbusha matokeo ya urais mwaka 2015

Wanajf, salaam!
Ili mpange vizuri mikakati ya urais wa mwaka 2020 nachukuwa fursa hii kuwakumbusha matokeo ya URAIS kwa Mwaka 2015.
1. JOHN MAGUFULI 8,882,935,
2. Edward lowassa 6,072,848,
3. Anna Mughwira 98,763,
4. Chifu Yemba 66,049, na
5. Hashimu Rungwe 49,256, na
Vyama viwili @8,000.

Humphrey Polepole aone kuwa sasa tuna kazi kubwa ya kufanya ikizingatiwa kuwa 2020 tutakuwa na ongezeko la vijana takribani 10 milioni ambao wakati wa uchaguzi wa 2015 walikuwa na umri wa miaka 17, 16, 15, 14 na 13.

Mipango mibovu itatupatia matokeo mabovu, na tukijiimalisha basi Mungu huenda akatenda miujiza yake.
Wapinzani hawawezi kushinda uchaghzi kama hakuna tume huru,mahakama huru.na kupinga matokeo ya urais mahakamani.Na kama wakishinda hiyo itakuwa miujiza ya dunia.Itabidi,hiyo miujiza iwekwe kwenye kumbukumbu ya kitabu chamiujiza ya dunia.
 
2020 hatufanyi kosa tutataleta kama Ghana.


swissme
Bila tume huru ndio yale yale -chukua weka waaaaaa...... Wachina wanaseme nitapeli aibu kwako. Nitapeli mara ya pili aibu kwangu. Hivi upinzani utasoma lini umuhimu wa tume huru ya uchaguzi?
 
Watetea mafisadi chadema, mjue kabisa Magufuli siyo saizi yenu..

Kulialia kwenu kwenye mitandao ya kijamii hakuwezi kubadili jiwe kuwa barafu.

Chadema, chama la hovyo kuwahi kutokea duniani
 
Hata kidonda ili kipone lazima kisuguliwe ili kuondoa uchafu kisha kitiwe dawa - upande wowote unaweza kujitathmini. Yer 33:3
 
Bila tume huru ndio yale yale -chukua weka waaaaaa...... Wachina wanaseme nitapeli aibu kwako. Nitapeli mara ya pili aibu kwangu. Hivi upinzani utasoma lini umuhimu wa tume huru ya uchaguzi?
2016 sio 2020 funguka.


swissme
 
hivi mahakama ya ufisadi iliundwa ya nini?kama mnasema Lowasa fisadi alafu apelekwi mahakamani? hapo kuna ulaji wa pesa umetumika kwenye hii mahakama
 
Back
Top Bottom