Hii inaweza kuwa Vulvodynia.
Ni Hali ambayo inamfanya mwanamke kuwa na maumivu makali Sana wakati wa penetration hasa sehemu ya nje wa uke hutokea kwa zaidi ya miezi mitatu au hata miaka kabisa.
Hii Hali hutokea na hata akifanya vipimo ni ngumu kujua Chanzo chake.
Inawezeka ni irritation ya...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wewe jamaa umenichekesha sana. Vipi mapenzi yako kwa nyama yamepungua baada ya tukio hilo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui hata hicho kilichoandikwa hapo kwenye screenshot yako uliyoituma kama umekielewa wewe mwenyewe.
Hizo kit bado hazijawa approved FDA na hatuwezi jua juu sensitivity yake au specifity yake kwa sasa?
How would u want to believe those kits?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nikusahihishe kidogo,
HAIKUCHUKUA SIKU TATU MAJIBU YA VIPIMO KUTOKA NI KAMA SIKU MOJA TU.
SABABU:
Yule mama kaingia on 15th March, then akajisikia vibaya akaenda hospitali, vipimo vikachukuliwa na on 16th March, yaani kesho yake ambayo ni jana akathibitika kuwa na maambukizi ya virusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.