Recent content by wa_hapa_hapa

  1. wa_hapa_hapa

    Whatsapp na Mgogoro wa Familia

    Mwambie aache uongo mwanaume
  2. wa_hapa_hapa

    Wajue wanasiasa waliopanda na kushuka umaarufu

    Tusilumbane ndugu, rudi kwenye hoja ya msingi ya hao wanasiasa
  3. wa_hapa_hapa

    Wajue wanasiasa waliopanda na kushuka umaarufu

    Tatizo la JF kila mtu hujiita Msomi na kumdharau mwenzie
  4. wa_hapa_hapa

    Wajue wanasiasa waliopanda na kushuka umaarufu

    Nilisema tangu awali kuwa sijibu tusi kwa tusi, ukiandika hoja tutajadili, kwa kuwa huwezi kujenga hoja endelea kuandika kiingereza na kutoa tafsiri, huenda hiyo kazi ndo unaiweza zaidi
  5. wa_hapa_hapa

    Wajue wanasiasa waliopanda na kushuka umaarufu

    Unafikiri wenye nyadhifa zao wanaofanya mambo muhim ya nchi hii wanatafuta kujulikana hapa JF? Na kupoteza muda wao kutoa matusi kama hayo unayoanza kuporomosha? Mimi si mtu wa kujibu matusi, ni mtu wa kujenga hoja,
  6. wa_hapa_hapa

    Wajue wanasiasa waliopanda na kushuka umaarufu

    Ripoti gani inaandaliwa halafu inaachwa tu hovyo hovyo na kuonwa na mtu anayepita pita? Haya ni mawazo yako binafsi, hiyo ilikuwa kick ya kuletea kutuambia eti ni report ilofanywa na taasisi ambayo huwezi hata kuitaja
  7. wa_hapa_hapa

    Wajue wanasiasa waliopanda na kushuka umaarufu

    Mkuu umenena vyema, huwezi ukajadili kitu kinaitwa ripoti wakati haifahamiki imefanywa na nani na haijawa officially released
  8. wa_hapa_hapa

    John Shibuda atangaza rasmi kuachana na CHADEMA

    Stable minded figure!!!!!!! Unajitekenya mwenyewe, nani stable pale chadema?
  9. wa_hapa_hapa

    John Shibuda atangaza rasmi kuachana na CHADEMA

    Kama humjui huo ni umbumbu wako kwenye siasa, endelea kutomjua hivo hivo na kaa kimya
  10. wa_hapa_hapa

    Natafuta mume wa kunioa

    Nina vigezo takriban vyote isipokuwa cha umri tu! I am turning 31 this June!
  11. wa_hapa_hapa

    Vote for diamond platnunz, BET 2013/2014 awards

    Ni wakati wa kuonyesha umoja na uzalendo
  12. wa_hapa_hapa

    Vote for diamond platnunz, BET 2013/2014 awards

    Ni kweli na sisi pia tuendelee kumpigia kampeini na kura kwa wingi zaidi, kama anavyoongoza sasa hivi aendelee kuongoza mpaka mwisho
  13. wa_hapa_hapa

    Vote for diamond platnunz, BET 2013/2014 awards

    Here is the link where you can vote http://v1019.cbslocal.com/2014/05/14/jay-z-and-beyonce-make-headlines-again/#pd_a_8047572
  14. wa_hapa_hapa

    Vote for diamond platnunz, BET 2013/2014 awards

    Come on guys, let's put aside our disparities and vote for this guy representing the entire east Africa in this competition
  15. wa_hapa_hapa

    Rais kuitwa shemeji na walimu ni matusi na kudhalilisha Taasisi ya Urais!

    Acha ukweli ubaki kama ukweli! Kwani kuna uongo katika hilo? Raised naye ni binadam nao ukumbuke wakati walim wanayasema hayo walikuwa hawaiambii taasis, walimwambia JK
Back
Top Bottom