Wajue wanasiasa waliopanda na kushuka umaarufu

Wajue wanasiasa waliopanda na kushuka umaarufu

Mtoa mada yuko sahihi tatizo mkiambiwa ukweli mnatoa povu mnataka viongoz wenu wasifiwe tu hta kma hawastahili.
 
Hivi Salma Kikwete ana umaarufu upi katika siasa? Upuuzi mtupu!
 
View attachment 175696

Kwa mujibu wa taasisi moja inayoshughulia na umaarufu hasa kwa wanasiasa ,imeandaa ripoti yake ambayo itazinduliwa hivi karibuni.

Katika ripoti iyo imewataja wanasiasa kupanda juu kwa umaarufu na kuwabwaga wenzao wakogwe wa siasa yetu hapa Tanzania.

Umaarufu huo umetokana na ufahamu wao wa mambo mbalimbali katika siasa na hata utendaji wao wa kazi kiasi kuwa gumzo midomoni mwa wengi ndani ya miaka mitano iliopita mpaka hivi sasa.

Baadhi wa wanasiasa waliopanda kwa kasi ni pamoja na Tundu Lissu, Humphrey Polepole, Deus Kibamba,Sinde Warioba,Mwigulu Lameck Nchemba, John Magufuli,Stive Wassira,Edward Lowassa,Ridhwani kikwete,Job Ndugai, David Kafulila na hata January Makamba na mama Salma Kikwete.

Pia ripoti hiyo imewataja walioporomoka umaharufu wa kisiasa ni pamoja na JK tofauti na alivyoingia madarakani, Pinda,Makinda,Sitta Samwel,Mbowe,dr. Slaa,Lyatonga Mrema,Zitto Kabwe,jaji Werema na hata mwenyekiti wa CUF.

Wengine waliobakia wamebaki katika nafasi zao palepale yaani si maarufu sana midomoni mwa watanzania kisiasa ingawa wengine wanaendelea kuwa na ushawishi mkubwa wa watu wao,na ilimaliza kwa kusema "walioporomoka wajipange kwani muda umeisha.

kwa Dk Slaa na Mboe umechemsha, wanasiasa hao chati yao iko juu sana kulinganisha na wote uliowataja,maana hao ndio UKAWA na hao ndio Chadema
 
kwa Dk Slaa na Mboe umechemsha, wanasiasa hao chati yao iko juu sana kulinganisha na wote uliowataja,maana hao ndio UKAWA na hao ndio Chadema
iyo ni tafiti tu kwanza na sio mboe ni mbowepia imetolewa iyo tafiti ili kama mnataka kusimamisha mbowe au slaa katika urais mjue mmeumia!!
 
Mleta maada kasema mwenyewe "hata kama ni ripoti ya kubuni" na hajataja jina la taasisi wala ripoti yenyewe, kuna cha kujadili hapa?

Mkuu umenena vyema, huwezi ukajadili kitu kinaitwa ripoti wakati haifahamiki imefanywa na nani na haijawa officially released
 
Mkuu umenena vyema, huwezi ukajadili kitu kinaitwa ripoti wakati haifahamiki imefanywa na nani na haijawa officially released
jamani someni vema mi si msemaji ila nilipenya penya nikapata iyo ripoti sasa subirini uzinduzi ndio mtajua mengi kutoka humo
 
jamani someni vema mi si msemaji ila nilipenya penya nikapata iyo ripoti sasa subirini uzinduzi ndio mtajua mengi kutoka humo

Ripoti gani inaandaliwa halafu inaachwa tu hovyo hovyo na kuonwa na mtu anayepita pita?
Haya ni mawazo yako binafsi, hiyo ilikuwa kick ya kuletea kutuambia eti ni report ilofanywa na taasisi ambayo huwezi hata kuitaja
 
unasema hivyo sababu ladba unijui vema,dogo angalia sana mdomo uwo sio wote jf tupo kama wewe u're rotten the jail
 
unasema hivyo sababu ladba unijui vema,dogo angalia sana mdomo uwo sio wote jf tupo kama wewe u're rotten the jail

Unafikiri wenye nyadhifa zao wanaofanya mambo muhim ya nchi hii wanatafuta kujulikana hapa JF? Na kupoteza muda wao kutoa matusi kama hayo unayoanza kuporomosha?

Mimi si mtu wa kujibu matusi, ni mtu wa kujenga hoja,
 
kumbe ujaenda shule bc siko tayali ku disc na wewe u're rotten the jail maana yake utakuja kuozea jela " sasa hili tusi bc bwana tafuta katution uji flash kumbe hamna kitu hapo
 
kumbe ujaenda shule bc siko tayali ku disc na wewe u're rotten the jail maana yake utakuja kuozea jela " sasa hili tusi bc bwana tafuta katution uji flash kumbe hamna kitu hapo

Nilisema tangu awali kuwa sijibu tusi kwa tusi, ukiandika hoja tutajadili, kwa kuwa huwezi kujenga hoja endelea kuandika kiingereza na kutoa tafsiri, huenda hiyo kazi ndo unaiweza zaidi
 
Nilisema tangu awali kuwa sijibu tusi kwa tusi, ukiandika hoja tutajadili, kwa kuwa huwezi kujenga hoja endelea kuandika kiingereza na kutoa tafsiri, huenda hiyo kazi ndo unaiweza zaidi
ila dogo nenda shule, bado wewe sio mkubwa sana
 
Tatizo la JF kila mtu hujiita Msomi na kumdharau mwenzie
hapana dogo mi sijakudhalau najf hamna msomi wala nini, msomi gani atakuwa anabase na udaku udaku uwezi kumkuta mwalimu chuo kikuu,au docta bingwa anakeep bize na mambo ya kipuuzi puuzi kama haya
 
Back
Top Bottom