Recent content by wa zion

  1. wa zion

    JamiiForums Tanzania Wazazi wenzangu, huwa mnawafanyaje watoto wanaozira kula?

    Njaa ikimuuma atakula tu. Mpe muda, kama ni chini ya miaka mitano mbadilishie mazingira.
  2. wa zion

    JamiiForums Tanzania Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    Hivi baada ya usaili uliofanyika kuna vipimo vyovyote vinafanyika kwa wasailiwa wote?
  3. wa zion

    JamiiForums Tanzania Graduate wa Sociology natafuta ajira nipo Kanda ya ziwa

    Tafuta mashirika binafsi upeleke CV yako na uombe nafasi kama intern/volunteer ili angalau upate experience wakulipe au wasikulipe bado itakunufaisha wewe. Angalia pia ajira portal huwa zinatoka nafasi za maafisa maendeleo ya jamii halmashauri tofauti tofauti. Usimsahau Mungu, omba sana...
  4. wa zion

    JamiiForums Tanzania Mvua inayoendelea kunyesha huko Mwanza ni hatari

    Na mimi nimewaza mwanza sehemu gani maana hapa nipo ni jua la utosi.
  5. wa zion

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa rafiki yangu kapoteza uwezo wa kushika ujauzito

    Angekua yeye ndio ana shida angekubali kama mke wake angemwambia na yeye anataka mtoto wa tumboni make? Au mwanamke angeambiwa awe mvumilivu Mungu ndio anatoa watoto.
  6. wa zion

    JamiiForums Tanzania MTWARA: Basi la Shule ya King David lapata ajali, watu 10 Wamefariki na wengine 19 Wakijeruhiwa baada ya gari 'kufeli breki'

    Wazazi wengi wanalipa pesa nyingi watoto wao wasome hizi shule zenye school bus lakini wengi hawafanyi ufuatilizi wa usalama wa huo usafiri kwa watoto wao. Mungu awapumzishe wote waliopoteza maisha kwenye ajali hii.
  7. wa zion

    JamiiForums Tanzania Kumruhusu binti akajitafutie maisha ni kumfanya awe Malaya

    Primitive thinking.
  8. wa zion

    JamiiForums Tanzania UTAFITI : Wanawake wanapenda kujifungua kwa 'Operation'

    Issue wengi wanadhani upasuaji hauumwi kabisa ila yale maumivu hapana aiseee unaweza usirudie tena kuzaa.
  9. wa zion

    JamiiForums Tanzania Tunaotafuta connection za kazi za research tukutane hapa

    Jaribu na IPSOS wanafanya kazi nyingi za research.
  10. wa zion

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

    Na wewe ndio upo hapa unaandika kuhusu mke mwenye busara. How you write tells alot about your character.
  11. wa zion

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

    Slave mentality.
  12. wa zion

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda mpenzi wangu ila ni chibonge

    Bones are for dogs
  13. wa zion

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jimama linanitaka kwa nguvu

    34 ni majimama siku hizi au wewe ni school boy?
  14. wa zion

    JamiiForums Tanzania Nimekoma

    Hapo anamaanisha punguza shobo[emoji1787][emoji1787]
Back
Top Bottom