Ndara Mbovu
Senior Member
- Feb 28, 2017
- 155
- 83
- Thread starter
- #21
Tatizo liko wapi, sema hawi comfortable.Aisee demu akishakua kibonge ni tatizo sana
Tatizo liko wapi, sema hawi comfortable.Aisee demu akishakua kibonge ni tatizo sana
Nimekupata mkuu, ila jinsi ya kumwambia.Kama mmeunganishwa na kusudi ,yaani kuna mambo hayapo katika uhalisia lakini yeye anayona sawa na wewe unavyoona
Anza naye joging kidogo kidogo na umuhamasishe kwa kufanya nae pamoja kwa upendo
wangu sio kibonge.Mwache wakwako.
Si ndo hapo kuna mwingine akiona haya matairi ya tumbo ye ndo burudani anachanganyikiwa mwingine hapendiAki! Wanadamu huwa haturdhki, angekuwa chikondee kama me hapa ungemuanzishia uzi "mpenz wangu n chikonde, nifanye nn apate nyama. Nahitaj msaada wa haraka meli inaelekea kuzama"
Kuna wanaopenda vbongee na kuna wanaopenda vkondee, muhimu n kuchukua anayegusa moyo wako ili safar usione n ndefu.
Ila chibonge, tumbo ni kubwa nyama uzembe , nishaurini mana hakuna mkamilifu.
Picha iko wapi sasaNimekutana na mwanamke huyu msomi ana tabia njema , anajua mapenzi, anajua kupika, ana sura nzuri, ana umbo zuri akivaa nguo,
Ila chibonge, tumbo ni kubwa nyama uzembe , nishaurini mana hakuna mkamilifu.
Ana umbo zuri at the same time unasema ana manyama uzembeNimekutana na mwanamke huyu msomi ana tabia njema , anajua mapenzi, anajua kupika, ana sura nzuri, ana umbo zuri akivaa nguo,
Ila chibonge, tumbo ni kubwa nyama uzembe , nishaurini mana hakuna mkamilifu.
Mshawishi muende gym na pia kubadili pattern ya msosiNimekutana na mwanamke huyu msomi ana tabia njema , anajua mapenzi, anajua kupika, ana sura nzuri, ana umbo zuri akivaa nguo,
Ila chibonge, tumbo ni kubwa nyama uzembe , nishaurini mana hakuna mkamilifu.
Sasa ushasema hakuna mkamilifu, kama unalijua hilo endelea nae, panga ratiba za mazoezi nae atapunguaNimekutana na mwanamke huyu msomi ana tabia njema , anajua mapenzi, anajua kupika, ana sura nzuri, ana umbo zuri akivaa nguo,
Ila chibonge, tumbo ni kubwa nyama uzembe , nishaurini mana hakuna mkamilifu.
Mbona hao ndiyo watamu utelezi wake usiombeHilo tumbo linazuia mwingiliano?
Huwezo kupata vyote mkuu
Labda bidada alivaa belt wakati wa mtongozo date 😂😂Dah inamaana ulivokua namtongoza ulikua huoni kama ni kibonge? Muache atapata atapenda na ukibonge wake usitafute excuse ya kuja kumtesa mbeleni, katafute flat tummy huko wapo kibao 😒😒
Umetukosea sana vibonge