Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Imegundulika kwamba, wanawake (hasa hawa mabinti) wanapenda sana kujifungua kwa njia ya upasuaji badala ya njia ya kawaida.
Lengo lao ni kutunza maumbile /u-sichana wao kwa ajili ya kuwavutia wanaume. Sababu ya pili ni kukwepa uchungu wakati wa kujifungua...
Na mbaya zaidi, inasemekana wao ndo huongea na wauguzi ili recommendation itoke ya kujifungua kwa upasuaji.
Mabinti hawaogopi kujifungua kwa njia ya upasuaji, ndo maana unakuta mtu anazaa watoto maximum 2 tu biashara imeisha.