Nasikia atapewa kesi ya kujibu alafu ikipangwa tarehe ndio dpp ataitumbilia mbali ili serikali ionekane haikushindwa kesi na lisuu atakata rufaa alafu serikal ndio imlipe alafu wagawane mlungula 😄😄
Mwanamukuziki mkongwe mzee Ally zero tumwombee hali yake ki afya haiko sawa.
Hata kama famimia yake haijasema lakini kimwonekano hali yake ki afya haiko sawa.
Katika pita pita zangu huko mitandao mingine nimeona video yake kusema ukweli afya yake haiko sawa tumeombee.
Yeriko ni miongoni mw waliopoteza malengo yao baada ya mbowe kushindwa kwenye ule uchaguzi maana alikua kashaahidiwa kitengo cha juu pale ndo maana mpaka sasa ana ganzi haamini kilichotokea
Jamaa ana maindi maana jezi alotaka yeye imekataliwa lakini ma boss zake wao wanakampuni yao imeingiza mzigo jamaa kajikuta hana hata mia huko mdo maana anaipiga vita
Sisi tunaokaa huku miono tunishi karibu na mto wami mamba tunawaona wachumba tuu..
Yaani akimamata mbuzi tukiwa machungani unazama kwenye maji na panga au kisu unarudi na mbuzi wako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.