adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,590
- 7,769
Wezi hao ..Wezi kama wezi wengine...huu ni mpango utaenda hivi kwa taka taka kibao..
Ndio, wengi tu tena akina Shana wamewekeza huko kama ilivyo Kilindi wanaishi WAmasai na si wabondei kwa sasa.Handeni wanaishi wapare?
Usiombe ukutane na hiyo kadhiaMalipo yote kidigitali. Sasa kaka yangu Mshana upo Handeni umeingia Esso au Agip kuweka mafuta, unawasha simu hamna mtandao, itakuwaje?
Ushakua sawa hata mie ulikua unasumbuaMtandao Vodacom una shida huku unasoma emergency shida ni Mimi au?