Mwenzangu, Pole. Mimi nina ndoa ya muda mrefu sana,(miaka 30) na nimekusikia na kukuelewa., lakini ninachokukatalia ni kuwa, tusilaumiane wanawake, tuwalaumu wanaume. Mimi makubaliano yangu, na contract yetu nilichukulia ni mimi na mwenzangu, na kwamba ukitoka nje, nikajua, basi imetoka! Sasa...