Harmonize atoa wimbo mkali kumsifu Rais Magufuli

Aaha dadeki nlkua sitaki kuicheki ila nmeicheki buana
Ahahaha tumbo bhana yaani likifikiri njaaa 😅😅
 
Good dancing tune, good lyrics, good scenery and photos! Ni bora kuliko nyimbo nyingine ambayo maneno yake ni matusi. Hongera sana kijana, wanaokosoa wana yao, si wapenzi wa music. Ngoja ninyanyuke niselebuke.
 
Jinga kweli
Cover mbovu zaidi ya kwangwaru
Dogo anaharibu
Yeye sio level ya kumsifu Rais....Ana jina kubwa nao Africa

Hayo awaachie madogo.....Kila Siku nasema hate ufanikiwe vipi Nafasi ya Elimu itaonekana tu

Darasa la 7 Ni la Saba tu....hajui hata impact ya anachokifanya
 
Mpkv

[/QUOTE] mpk hpo ameshapoteza mashabiki zaidi ya laki,dogo kajitoa ufaham bt atapotea kwenye raman ya mziki vibaya sana
 
Cover mbovu zaidi ya kwangwaru
Dogo anaharibu
Yeye sio level ya kumsifu Rais....Ana jina kubwa nao Africa

Hayo awaachie madogo.....Kila Siku nasema hate ufanikiwe vipi Nafasi ya Elimu itaonekana tu

Darasa la 7 Ni la Saba tu....hajui hata impact ya anachokifanya
umenifanya nicheke sana jinsi ulivyompuuza.
Diamond angalau amefika sekondari ndio maana anaona mbali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom