Recent content by wa marangu

  1. W

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Tundu Lissu itumike kutufundisha kuwa Amani ya Taifa letu haichezewi, waasisi wa Taifa letu wameturithisha amani tuitunze na kuilinda

    We kiazi endelea kutetea madhulmati.wanaohatarisha usalama wa taifa ni lisu au ccm na kesi zao za mchongo
  2. W

    JamiiForums Tanzania Aweso aitaka RUWASA ifikishe maji vijiji vyote

    Huku kwetu marangu hatujawahi kupata kadhia ya maji tangu nizaliwe na umri wangu huu miaka45 maji yako mengi tena tunakunywa maji safi baridi kutoka mlima kilimanjaro. Na kila mtu ana bomba nyumbani kwake hakuna mtu anaenda kwa mwenzake kuchota maji kila mtu ana bomba lake alafu hatunaga mita...
  3. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi: Tumewakamata Watu 10 Kibaha wakiwa wanaandaa njama za Uhalifu

    Jeshi la polisi linatumika na watawala wa ccm hakuna kitu nachukia kama polisi kukandamiza upinzani yan sipendi kabisa
  4. W

    JamiiForums Tanzania Polepole: Mkutano ujao nitaongea mambo ambayo hawatapenda kuyasikia

    Kwan ukitenda dhambi ukimwomba mungu hatakusamehe? Shida iko wapi
  5. W

    JamiiForums Tanzania Lucky dube vs Bob Marley nani alikuwa bora kwako?

    Wachaga kwa dube huwaambii kitu
  6. W

    JamiiForums Tanzania Polepole: Mkutano ujao nitaongea mambo ambayo hawatapenda kuyasikia

    Kwan wewe ukiwa na dhambi ukitubu kwa mungu hatakusamehe? Kupanga n kuchagua mkuu.na polepole ametubu amerudi kundini wala usimnange yy amechagua
  7. W

    JamiiForums Tanzania Wapi napata mawe meupe?

    Nenda tanga
  8. W

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Israel, Waarabu, na Ibrahim

    Kama una iman nawe kumbuka hata ibra alijaribiwa ndo mana anaitwa baba wa iman.shetan nae alipata ruksa kutoka kwa mungu ili amjaribu ayoubu hata shetan alimjaribu yesu
  9. W

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Israel, Waarabu, na Ibrahim

    Kuna majaribu mengine ni kipimo cha imani
  10. W

    JamiiForums Tanzania Moshi kuna upepo mkali sana muda huu

    Marangu au mkuuni
  11. W

    JamiiForums Tanzania Oparesheni 255: Tundu Lissu afika Busisi, awalipua Benjamini Mkapa, Dkt William Shija na Tumainiel Kihwelu kwa kuuza Bulyankulu

    Chanzo cha umasikini ni kuuza rasilimali za nchi pia
Back
Top Bottom