Oparesheni 255: Tundu Lissu afika Busisi, awalipua Benjamini Mkapa, Dkt William Shija na Tumainiel Kihwelu kwa kuuza Bulyankulu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,809
218,463
Screenshot_2023-08-04-16-13-56-1.jpg

Kama tulivyoahidi hapo awali kwamba , Elimu hii ya Umuhimu wa Katiba Mpya na kampeni ya kuokoa Bandari za Tanganyika , hakuna kijiji tutakachokiruka , ndivyo tunavyofanya , bado tunatembea kwenye maneno yetu .

Leo Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu , amefika Busisi , kule kunakojengwa daraja la Busisi , ambako kunatajwa kama Ukweni kwa Naniliu

,Akiwa huko pamoja na elimu Kabambe ya Katiba mpya na kueleza kuhusu Ubovu wa Mkataba wa Bandari , Lissu amewataja watu watatu kama madalali wakuu wa kuuza Mgodi wa Bulyankulu , watu hao ni pamoja na Benjamini Mkapa aliyekuwa Rais wa Tanzania , Tumainiel Kihwelu aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga na Dr William Shija aliyekuwa Waziri wa Madini .

Hivi ndivyo ilivyokuwa

Screenshot_2023-08-04-17-44-59-1.jpg
 
Haya mambo ya kuwalipia sijui Mkapa, Magufuli n.k hayawasaidii kitu wananchi. Aongelee matatizo yanayowagusa wananchi moja kwa moja, bora hata akomae na kuwaelimisha kuhusu mkataba wa bandari. Mkapa kashakufa, akimlipua Kwa wananchi inamsaidia au inawasaidia nini wananchi!?, Watu wameichoka CCM ila upinzani nao wakati mwingine ni utopolo F.C.
 
Hiki ni kipande tu cha alichoongea. Naona unadhani alifika akasema hivyo tu kisha akaondoka. Mbona huko kwenye nyumba za ibada bado wanaongea ubaya wa shetani na hawajikiti kwenye mambo mapya na watu hawawi bored?
 
Haya mambo ya kuwalipia sijui Mkapa, Magufuli n.k hayawasaidii kitu wananchi. Aongelee matatizo yanayowagusa wananchi moja kwa moja, bora hata akomae na kuwaelimisha kuhusu mkataba wa bandari. Mkapa kashakufa, akimlipua Kwa wananchi inamsaidia au inawasaidia nini wananchi!?, Watu wameichoka CCM ila upinzani nao wakati mwingine ni utopolo F.C.
Ukitaka kufahamu unakokwenda ni budi ufahamu ulikotoka! Hii ni muhimu sana kwa vijana ili uweze kupima mipango yako.
 
Chanzo cha umasikini ni kuuza rasilimali za nchi pia
Haya mambo ya kuwalipia sijui Mkapa, Magufuli n.k hayawasaidii kitu wananchi. Aongelee matatizo yanayowagusa wananchi moja kwa moja, bora hata akomae na kuwaelimisha kuhusu mkataba wa bandari. Mkapa kashakufa, akimlipua Kwa wananchi inamsaidia au inawasaidia nini wananchi!?, Watu wameichoka CCM ila upinzani nao wakati mwingine ni utopolo F.C.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom