Recent content by Wa mabere

  1. W

    JamiiForums Tanzania PhD ya Magufuli na wanasiasa wengine zichunguzwe upya!

    Hata mimi nina publications nne kwenye international journals na sina PhD....
  2. W

    JamiiForums Tanzania Mh. Msigwa umeonesha ukomavu katika siasa

    Lakini Tulia amepanda
  3. W

    JamiiForums Tanzania Sumaye arudisha fomu ya kuwania Uenyekiti kanda ya Pwani

    Mna uhuru kweli mbona mwenyekiti wenu hataki kabisa wanachama wenzake wagombee nafasi yake? Akisikia kitu kama hicho muhusika uanachama basi
  4. W

    JamiiForums Tanzania Zitto: Rais ni mbaguzi, simple and clear

    Hizi nafasi ni za kuchaguliwa kwa hiyo anayechagua ana haki ya kumchagua anayemtaka sasa kosa lipo wapi? Tubadilishe katiba nafasi zote za kazi wanaopenda waombe na wafanyiwe usaili kama Kenya japo wanafanya kiduchu. Vinginevyo Zitto serikali ya umoja wa kitaifa ipo Zanzibar sio bara.Hata hivyo...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Zitto: Rais ni mbaguzi, simple and clear

    Sawa utakuwa CCMUkawa
  6. W

    JamiiForums Tanzania Mwizi aliyetajwa na Magufuli kuiba milioni saba kwa dakika asomewa mashtaka 199

    Hivi mahakama ya mafisadi itakuwa na rumande zake tofauti huku mtaani wanasema watu wajitayarishe na makarai badala ya ndoo au debe!!!
  7. W

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Kichapo tulichowapa CCM uchaguzi wa 2015 ndio kimewapanikisha

    Sasa ni kipi hasa cha kukumbuka hata Yesu alizomewa sembuse Magu
  8. W

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azindua mpango wa ugawaji wa madawati kwa Majimbo mbalimbali nchini

    Umenena vizuri sana ndugu lakini safari yoyote huanza na hatua moja. Hatua ya kwanza tumeshaanza yaani madawati tutafute hatua ya pili nafikiri iwe ni kujenga vyoo vya kutosha hatua ya tatu kujenga maabara na kutoa vifaa vyote vya kufundishia projectors, computers charts, pamoja na madaftari...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Kichapo tulichowapa CCM uchaguzi wa 2015 ndio kimewapanikisha

    Na kweli kamanda wa TB Joshua
  10. W

    JamiiForums Tanzania Sumaye: Tubadili utawala wa vitisho

    Tizama, ni Tanzania tu ndio utapata viongozi ambao walikuwa madarakani na miongo miwili au mitatu na baada ya kustaafu ndio wanakwenda kusoma. Huwa najiuliza hivi tulikuwa tunaongozwa na viongozi ambao walikuwa hawajasoma? au wamesoma nusu na nusu wanamalizia wakishastaafu? wenzetu kiongozi...
  11. W

    JamiiForums Tanzania BAVICHA wamuasi Mbowe, waapa kwenda Dodoma

    Ndugu yangu kuna msemo wa kiswahili unaosema "kwa shujaa kulikwenda kilio na kwa mwoga kulibaki kicheko" hakuna ushujaa unapoweka rehani maisha ya vijana wasiokuwa na hatia wanafuata mkumbo tu na wanaofaidi wapo pembeni.
  12. W

    JamiiForums Tanzania Magufuli atumia lugha ya Kiswahili kwenye hotuba ya kumkaribisha PM wa India

    Jamani kwa nini matatizo yetu yanaongezeka kila siku? Hivi kuongea kiingereza ni uhodari? Una maana huyu Mheshimiwa kwenye Viva Voce ya PhD alitumia kiswahili kuwasilisha Thesis yake? Acheni hizo .Mimi ningekuunga mkono kama ungesema Rais apunguze hizi kodi za nyumba property tax na zingine...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Lowassa: CHADEMA tume graduate kutoka kuwa wanaharakati hadi chama cha siasa

    Hivi huyu bwana huwa anaota au vipi? Mbona kuna safari ya kwenda Dodoma au hajui hilo? Na kesi ya kudai posho mahakamani?
  14. W

    JamiiForums Tanzania Poleni Wakurugenzi mliotoswa, hayo ndio malipo yenu

    Jamani tuache majungu ndio maana mlipiga kelele na kulaani sana sukari ilipoadimika sasa leo imejaa na haina mnunuaji. Mimi nina watoto wangu wapo serikalini na ni Chadema na Cuf wa kikweli kweli sababu ni viongozi kwenye vyama vyao, sijasikia wakilalamika kwamba wanatengwa au kunyanyaswa
  15. W

    JamiiForums Tanzania Dodoma: BAVICHA hawatanii, wanawasili kweli kwa ajili ya Julai 23

    Ni vema Bavicha wasitanie waende tu huko Dodoma kwani hata wabunge wa Ukawa hawakutania walifunga plasta na bungeni walitoka wakisema wao hawakufuata posho lakini leo wanakwenda mahakamani kudai posho. Mungu mkubwa lile pengo la madawati tutapata fedha kutoka posho za wabunge wa ukawa jee kwa...
Back
Top Bottom