Sumaye: Tubadili utawala wa vitisho

Sumaye: Tubadili utawala wa vitisho

Sumaye unanichekesha sana. Nikikumbuka ulivyokua mbabe utawala wa Mkapa Sina hamu.
Ni kipindi chako wapinzani walichezea kichapo kinyama, Nakumbuka zanzibar ilipata wakimbizi, Professor Lipumba mlimvunja mkono. Leo unagombea ili uondoe utawala wa vitisho, kweli?

Hakika Nyani haoni kundule.

kamanda umenikumbusha mbaaaali. kweli nyani haoni kundule.

1)kwanza awaombe msamaha wale jamaa wa mwembechai msikitini kwa jinsi alivyowatandika.

2)pili, atuezee hoja ya uuzwaji wa nyumba za serikali alisimamia vizuri sana na wakagawana majumba msingi wake ulikuwa ni nini hasa na sera ya chadema kuhusu nyumba za serikali inasemaje tuelewesheni zitarudishwa au

3)tatu, atueleze alishatamka wakati akiwa ccm kuwa aliyekuwa mgombea ni fisadi na akichaguliwa kugombea atahama ccm. je, nini msimamo wake kwa sasa kwa sababu yupo sambamba nae wanapiga kazi pamoja.
 
“Ndoto niliyo nayo ni ile ile iliyonitoa CCM, katika demokrasia kwa mfano ukienda Marekani huwezi kuona wamarekani wamekiacha chama kimoja kikitawala miaka 30 hadi 40 kwaza hata miaka nane ni bahati sana kwa sababu chama kikitawala miaka nane huwa ni bahati kwasababu wanaju kikishatawala miaka hiyo kitakuwa kimepata fursa ya kutekeleza malengo yake,”amesema Semaye.

unafiki unafiki unafiki kazini....hivi unataka kuuaminisha watz kwamba ulikuwa na hizi ndoto ulivochukua fomu ya kugombea urais ccm au ulikuwa na ndoto hizi baada ya kupata hasira za kukatwa??
 
Mkapa hakukosea aliposema màl..fa!
yaani former PM anakuwa mwenyekiti wa kijiji?
Ungebaki mshauri wa chama!
Sasa utakaa ukimuanda, a mikutano Mbowe na akija ujipange barabarani kupokea na makuti ya pwani?
Achana na hizo fomu za mkoa wa pwani!
Unaweza kukisaidia chama kwa kutoa ushauri, kulikoni kuingia front ambapo utagombana na watoto! Wapi succession plans kwa nyie executives mliostaafu? Jenga watoto wakurithi sio kugombea nafasi ambazo vijana wangetumia kujenga chama na nchi yao!
Hii ni aibu na wala haina hata chembe ya Faraja kwa wana CHADEMA!
aisee maneno yako yamenichoma mpk kumoyo. kiukweli inaonyesha jinsi gani alivyokuwa na tamaa ya uongozi. hivi kwa u veteran woote alionao anataka kuwa chini ya Mbowe, Mashinji ,hawa wote watakuwa mabosi zake Sumaye. yaani daaaa. bwana Sumae usitie aibu. acha vijana wachukue nafasi sasa we baki uwe mshauri. yaaani kabisa unachekelea eti unaenda kuchukua fomu, eti wamekulipia, hahahaha. Mr z...er. mmhhh
 
kamanda umenikumbusha mbaaaali. kweli nyani haoni kundule.
1)kwanza awaombe msamaha wale jamaa wa mwembechai msikitini kwa jinsi alivyowatandika.
2)pili, atuezee hoja ya uuzwaji wa nyumba za serikali alisimamia vizuri sana na wakagawana majumba. msingi wake ulikuwa ni nini hasa na sera ya chadema kuhusu nyumba za serikali inasemaje. tuelewesheni. zitarudishwa au
3)tatu, atueleze alishatamka wakati akiwa ccm kuwa aliyekuwa mgombea ni fisadi na akichaguliwa kugombea atahama ccm. je, nini msimamo wake kwa sasa kwa sababu yupo sambamba nae wanapiga kazi pamoja.
naona ameamua kubadilishia gia angani na yeye. potelea dar es salaam hata kama akishindwa. tamaa yake ni kupata cheo
 
Akubali kugombea Uenyekiti CHADEMA kanda ya Pwani.

Aomba wajumbe kumpigia kura.

FREDRICK Sumaye, Waziri Mkuu mstaafu amesema anatamani kuona ndoto yake inatimia kwa watanzania kubadili uongozi bila hofu na vitisho vinavyosababishwa na watawala kwa kutumia nguvu ya dola, anaandika Mwandishi Maalum.Sumaye ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Cha cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ameyasema hayo kutoka na historia za baadhi ya viongozi wa Bara la Afrika pindi wanapoingia madarakani kutopenda hata kuwaona wengine wakiinua pua.

Akizungumza na wandishi wa habari Kijijini kwake mara baada ya kukabidhiwa fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani na Mwenyeketi wa Dar es Salam,Kijijini kwake Tondoroni, Kiluvya Pwani, Sumaye, amesema kuwa ni wakati sasa wa kukipeleka chama hicho hadi katika ngazi za vitongiji ambako ndiko wanakoringia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Alisema ni vema watawala wa kiafrika wakawaacha wananchi kutumia demokrasia yao katika kujiamulia kuchagua kiongozi wanayefikiria atatekeleza malengo yao wanayoyatarajia.

“Ndoto niliyo nayo ni ile ile iliyonitoa CCM, katika demokrasia kwa mfano ukienda Marekani huwezi kuona wamarekani wamekiacha chama kimoja kikitawala miaka 30 hadi 40 kwaza hata miaka nane ni bahati sana kwa sababu chama kikitawala miaka nane huwa ni bahati kwasababu wanaju kikishatawala miaka hiyo kitakuwa kimepata fursa ya kutekeleza malengo yake,”amesema Semaye.

Amesema tatizo lilipo Tanzania ni chama kilichopo madarakani kutokubali kuviona vyama vingine vinainua pua ifike pali kwa chama tawala kukubali kushindwa pindi wananchi wanapoamua.

“Kwa kawaida chama chochote kikitawala muda mrefu hakiwezi kufanya vizuri na hiyo ni sawa na anayepiga maji wakati hajui kuogelea hali inayowanyima wananchi fursa ya maendeleo,”alisema Sumaye.

Sumaye, amesema ndoto yake nikuona CHADEMA ina wafikisha watanzania kule wanakotaka na kuamini kwamba sasa demokrasia imechukua mkondo wke.Akizungumzia uchaguzi huo wa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani, Sumaye, amesema anawashukuru wanachama hao kwa kuonesha imani kwake na kuahidi kwamba yuko tayari kufanya kazi ya kukiimarisha chama hicho kuanzia ngazi ya chini kabisa.

Amesema, ingawa ili awe mwenyekiti ni lazima achaguliwe lakini aliwaahidi wanachama hao kwamba CHADEMA inahitaji kuongoza dola kwa hiyo kazu kubwa iliyoko ni wanachama wa chama hicho kujipanga kuanzia sasa ikiwemo kujiepusha na migogoro isiyokuwa ya lazima.

Amesema haata inapotokea ni vema zikatumika busara katika kuipatia ufumbuzi ambayo matokeo yake ni kuwa na chama imara.

“Nawashukuru kwa kunichangia sh. 100000 ya kunichukulua fomu najuamefanya hivi kwa upendo wenu wala siyo kwa ubaya nami nasema nimekubali ombi lenu Bali naomba mnipigie kura msiishie hapa,”amesema Sumaye.

Naye mwanasheria wake Aidan Kitare amesema kwa vile kesho ndiyo siku ya mwisho atajitahidi pamoja na mgombea wake wanakamilisha utaratibu na kurusisha fomu hiyo kabla ya saa 6:00 mchana.

Mwita waitara mwenyekiti wa Dar es Salaam Kuu aliyekuwepo katika kumsindikiza kiongozi huyo, amesema wanachama hao waliyojitokeza kumchukulia fomu Sumaye walifanya hivyo wakiamini kwamba atakisaidia chama kwa vile anauzoefu mkubwa katika masuala ya uongozi katika utumishi wa Umma.
Tizama, ni Tanzania tu ndio utapata viongozi ambao walikuwa madarakani na miongo miwili au mitatu na baada ya kustaafu ndio wanakwenda kusoma. Huwa najiuliza hivi tulikuwa tunaongozwa na viongozi ambao walikuwa hawajasoma? au wamesoma nusu na nusu wanamalizia wakishastaafu? wenzetu kiongozi akishastaafu huwa anaenda kufundisha chuoni lakini hapa kwetu....
 
Atapoteza ARDHI aliyojimilikisha RANCH alizojitwalia NYUMBA zisizo na idadi bila kuzilipia kodi ya ardhi HESHIMA ya ustaafu.nk
Kama ni adhabu kwa makosa aliyofanya, e.g. kumiliki ardhi kinyume cha sheria, mahakama itamshughulikia kwa mujibu wa sheria. Kumbuka kuwa haki haina itikadi. Uwe wa ukawa, uwe wa ccm huwezi kuzuia mahakama kufanya kazi yake ingawaje chama dola (ccm), kwa kutumia ushawishi wake kwa serikali na mahakama, kinaweza kununua haki na kuwa-victemize wapinzani.

Mimi na wewe tunapaswa kutetea haki ya kila mtanzania na kupinga dhuluma kwa nguvu zetu zote; na kuhakikisha kuwa wahalifu na wasio wahalifu wanapata hukumu ya haki bila uonevu; Hukumu itakayostahimili mtihani wa wakati na historia.
 
WAHENGA WALISEMA "MKUKI KWA KITIMOTO KWA MZUSHI MCHUNGU".
 
Ninamkupali sana sumaye kwa kunijulosha kuwa huwa tunahofia vitu tusivyo vijuwa salute kwako kamanda sumaye
 
Akubali kugombea Uenyekiti CHADEMA kanda ya Pwani.

Aomba wajumbe kumpigia kura.

FREDRICK Sumaye, Waziri Mkuu mstaafu amesema anatamani kuona ndoto yake inatimia kwa watanzania kubadili uongozi bila hofu na vitisho vinavyosababishwa na watawala kwa kutumia nguvu ya dola, anaandika Mwandishi Maalum.Sumaye ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Cha cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ameyasema hayo kutoka na historia za baadhi ya viongozi wa Bara la Afrika pindi wanapoingia madarakani kutopenda hata kuwaona wengine wakiinua pua.

Akizungumza na wandishi wa habari Kijijini kwake mara baada ya kukabidhiwa fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani na Mwenyeketi wa Dar es Salam,Kijijini kwake Tondoroni, Kiluvya Pwani, Sumaye, amesema kuwa ni wakati sasa wa kukipeleka chama hicho hadi katika ngazi za vitongiji ambako ndiko wanakoringia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Alisema ni vema watawala wa kiafrika wakawaacha wananchi kutumia demokrasia yao katika kujiamulia kuchagua kiongozi wanayefikiria atatekeleza malengo yao wanayoyatarajia.

“Ndoto niliyo nayo ni ile ile iliyonitoa CCM, katika demokrasia kwa mfano ukienda Marekani huwezi kuona wamarekani wamekiacha chama kimoja kikitawala miaka 30 hadi 40 kwaza hata miaka nane ni bahati sana kwa sababu chama kikitawala miaka nane huwa ni bahati kwasababu wanaju kikishatawala miaka hiyo kitakuwa kimepata fursa ya kutekeleza malengo yake,”amesema Semaye.

Amesema tatizo lilipo Tanzania ni chama kilichopo madarakani kutokubali kuviona vyama vingine vinainua pua ifike pali kwa chama tawala kukubali kushindwa pindi wananchi wanapoamua.

“Kwa kawaida chama chochote kikitawala muda mrefu hakiwezi kufanya vizuri na hiyo ni sawa na anayepiga maji wakati hajui kuogelea hali inayowanyima wananchi fursa ya maendeleo,”alisema Sumaye.

Sumaye, amesema ndoto yake nikuona CHADEMA ina wafikisha watanzania kule wanakotaka na kuamini kwamba sasa demokrasia imechukua mkondo wke.Akizungumzia uchaguzi huo wa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani, Sumaye, amesema anawashukuru wanachama hao kwa kuonesha imani kwake na kuahidi kwamba yuko tayari kufanya kazi ya kukiimarisha chama hicho kuanzia ngazi ya chini kabisa.

Amesema, ingawa ili awe mwenyekiti ni lazima achaguliwe lakini aliwaahidi wanachama hao kwamba CHADEMA inahitaji kuongoza dola kwa hiyo kazu kubwa iliyoko ni wanachama wa chama hicho kujipanga kuanzia sasa ikiwemo kujiepusha na migogoro isiyokuwa ya lazima.

Amesema haata inapotokea ni vema zikatumika busara katika kuipatia ufumbuzi ambayo matokeo yake ni kuwa na chama imara.

“Nawashukuru kwa kunichangia sh. 100000 ya kunichukulua fomu najuamefanya hivi kwa upendo wenu wala siyo kwa ubaya nami nasema nimekubali ombi lenu Bali naomba mnipigie kura msiishie hapa,”amesema Sumaye.

Naye mwanasheria wake Aidan Kitare amesema kwa vile kesho ndiyo siku ya mwisho atajitahidi pamoja na mgombea wake wanakamilisha utaratibu na kurusisha fomu hiyo kabla ya saa 6:00 mchana.

Mwita waitara mwenyekiti wa Dar es Salaam Kuu aliyekuwepo katika kumsindikiza kiongozi huyo, amesema wanachama hao waliyojitokeza kumchukulia fomu Sumaye walifanya hivyo wakiamini kwamba atakisaidia chama kwa vile anauzoefu mkubwa katika masuala ya uongozi katika utumishi wa Umma.
Siku nitakapomsikia huyu Mzee akieleza kwanini wakati wa utawala wake alifanya yaleyale anayoyakosoa leo nitamuelewa.
 
Mkuu kapime..utapasua mishipa! Jamaa ni muflis kibaya zaidi jazba.
 
  1. Akubali kugombea Uenyekiti CHADEMA kanda ya Pwani.

Mzee Sumaye alipaswa kuachia vijana wagombee na washike uongozi. Yeye na wazee wengine wawe washauri tu.

Swali kwa Mzee Sumaye: anazungumziaje kauli yake akiwa Waziri Mkuu wa serikali ya awanu ya tatu ya: "Ukitaka mambo yakunyookee jiunge na CCM!"

Pili anapoongelea masuala ya utawalabora na demokrasia je, anakumbukaa aliyoyafanya na yaliyotokea awamu ya tatu akiwa Waziri Mkuu. Yaliyotokea Zanzibar baada ya uchaguzi wa mwaka 2000 anayakumbuka?

Lingekuwa jambo jema kama Mzee Sumaye angewashukuru waliomtaka achukue fomu kugombea cheo kidogo cha Mwenyekiti wa kanda! Kwa hadhi aliyokuwanayo uongozi wa chama kitaifa ndio size yake sio kanda. Kama nilivyosema awali, kwa uzee wake anapaswa kuwa mshauri tu.
 
Mr.Ziro katika ubora wake kama hayo unayoyasema ni ya kweli, Je, ni kwa nini uliondoka tu CCM baada ya kunyimwa nafasi ya kugombea Uraisi? kama ulilijua hilo ni kwa nini haukuondoka CCM kabla kwa maana tayari CCM ilikuwa madarakani kwa miaka zaidi ya 30 na bado ulitaka kugombea Uraisi Chama hicho!
Je, CCM wangekupitisha na leo si ungekuwa Raisi wa JMTZ kwa kupitia CCM?

Arrrggghh chadema pleaseeeee fanyeni IQ testing ya hawa viongozi wenu kabla ya kuwapa madaraka, huyu jamaa he so dumb ndiyo maana Kipanya alikuwa anamuita Mr.Ziro, hivi Mzee Mkapa aliwezaje kufanya kazi mtu ki.laza namna hii?
Kingereza shida kwako mkuu
 
Mkuu mstaafu ushauri wa bure, ama fanya biashara au fuga kuku. achana na siasa kwani lazima uwe mwanasiasa mpaka mwisho?kubali yaishe ukweli ni kwamba umefilisika kisiasa.
Mkuu umesema kweli kama amekosa kazi aendelea kulima na kufuga nashangaa yy anaitwa waziri mstafu kwasababu chama anachokiponda ukisikia shukrani ya punda ni MATEKE NDIO hii
 
hivi Sumaye ni waziri mkuu mstaaf wa chama gani vile. ni bora angewaambia wasimwite hivyo
 
Wanaoponda kuunganisha watanzania wote ni wale ambao wanaogopa upinzani unavyounganisha nguvu !

Wanaogopa upinzani unavyoimalizia kuizika ccm ,Hongera kamanda Mbowe !?
 
Akizungumza na wandishi wa habari Kijijini kwake mara baada ya kukabidhiwa fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani na Mwenyeketi wa Dar es Salam, , Kijijini kwake Tondoroni, Kiluvya Pwani, Sumaye, amesema kuwa ni wakati sasa wa kukipeleka chama hicho hadi katika ngazi za vitongiji ambako ndiko wanakoringia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Alisema ni vema watawala wa kiafrika wakawaacha wananchi kutumia demokrasia yao katika kujiamulia kuchagua kiongozi wanayefikiria atatekeleza malengo yao wanayoyatarajia.

“Ndoto niliyo nayo ni ile ile iliyonitoa CCM, katika demokrasia kwa mfano ukienda Marekani huwezi kuona wamarekani wamekiacha CHAMA kimoja kikitawala miaka 30 hadi 40 kwaza hata miaka nane ni bahati sana kwa sababu chama kikitawala miaka nane huwa ni bahati kwasababu wanaju kikishatawala miaka hiyo kitakuwa kimepata fursa ya kutekeleza malengo yake,”amesema Semaye.

Amesema tatizo lilipo Tanzani ni chama kilichopo madarakani kutokubali kuviona vyama vingine vinainua pua ifike pali kwa chama tawala kukubali kushindwa pindi wananchi wanapoamua.

“Kwa kawaida chama chochote kikitawala muda mrefu hakiwezi kufanya vizuri na hiyo ni sawa na anayepiga maji wakati hajui kuogelea hali inayowanyima wananchi fursa ya maendeleo,”alisema Sumaye.

Sumaye, amesema ndoto yake nikuona Chadema ina wafikisha Watanzania kule wanakotaka na kuamini kwamba sasa demokrasia imechukua mkondo wke.

Akizungumzia uchaguzi huo wa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani, Sumaye, amesema anawashukuru wanachama hao kwa kuonesha imani kwake na kuahidi kwamba yuko tayari kufanya kazi ya kukiimarisha chama hicho kuanzia ngazi ya chini kabisa.

Amesema, ingawa ili awe mwenyekiti ni lazima achaguliwe lakini aliwaahidi wanachama hao kwamba Chadema inahitaji kuongoza dola kwa hiyo kazu kubwa iliyoko ni wanachama wa chama hicho kujipanga kuanzia sasa ikiwemo kujiepusha na migogoro isiyokuwa ya lazima.

Amesema haata inapotokea ni vema zikatumika busara katika kuipatia ufumbuzi ambayo matokeo yake ni kuwa na chama imara.

“Nawashukuru kwa kunichangia sh. 100000 ya kunichukulua fomu najuamefanya hivi kwa upendo wenu wala siyo kwa ubaya nami nasema nimekubali ombi lenu Bali naomba mnipigie kura msiishie hapa,”amesema Sumaye.

Naye mwanasheria wake Aidan Kitare amesema kwa vile kesho ndiyo siku ya mwisho atajitahidi pamoja na mgombea wake wanakamilisha utaratibu na kurusisha fomu hiyo kabla ya saa 6:00 mchana.

Mwita waitara mwenyekiti wa Dar es Salaam Kuu aliyekuwepo katika kumsindikiza kiongozi huyo, amesema wanachama hao waliyojitokeza kumchukulia fomu Sumaye walifanya hivyo wakiamini kwamba atakisaidia chama kwa vile anauzoefu mkubwa katika masuala ya uongozi katika utumishi wa Umma.

SOURCE:Sumaye: Tubadili utawala wa vitisho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom