Mna uhuru kweli mbona mwenyekiti wenu hataki kabisa wanachama wenzake wagombee nafasi yake? Akisikia kitu kama hicho muhusika uanachama basiHuku kuna uhuru siyo wakupokezana vijiti aka Kuni
Mi sipigi tena kura kumbe upinzani ni wale wale ccm[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ujue uanachama ni kujua tuu hao hawatasahau u ccm, sawa na kujua baiskeli ukijua umejua tuuu hata ukiendesha pikipiki kinachobadilika ni kupiga gia angani...
Hivi chadema tumekosa waasisi mpaka tutegemee mtu afujuzwe ccm[emoji134] [emoji134] [emoji134]
watu wa Pwani bogus kabisa
kwa maana hyo ccm ina wanachama wazuri na wenye weledi sana!!Kwa taarifa yako hata walio asisi CHADEMA walitoka CCM. Hakuna jambo la ajabu hapo. Mpinzani mzuri ni yule anaye mfahamu vizuri adui yake. Sumaye anaifahamu vizuri CCM ndio maana wana hofu.
Wapi mabere Marando?
Mlivyomloga mlidhani atakufa ? Kijana Usicheze na Mungu .Wapi mabere Marando?