Recent content by Wa Igima

  1. Wa Igima

    Serikali na mikakati ya kuwezesha wasomi kuajiriwa, vingenevyo tunakoelekea elimu itakosa thamani hapa Tanzania

    mi wavyo sema mkajiajili.huwa naelewa kwamba wanamanisha tukajiajili kupitia elimu tuliyo ipata shuleni.na siyo kwenda kufanya kitu kingine tofauti na carie yakk
  2. Wa Igima

    Ushauri: Mhitimu nimepata wazo la kujiajiri jamani

    mtoa mada unamtazamo mzuri sana kuhusu kufika mbari kimaisha.tatizo umekosea kutoa siri ya malengo yako jf ndio sehem walipo wasomi wengi kuliko mitandao mingine ya kijamii ukiachana na linked in.na kama unavyo jua bongo wengi tunasoma ili tuajiliwe na siyo kutoa ujinga kama wenzetu wanavyo...
  3. Wa Igima

    Natafuta huu mtambo

    huo mtambo unaitwaje?
  4. Wa Igima

    Gari langu limekua na tatizo la kuzima wakati naendesha

    silencer ipo chin.tafuta fundi aipandishe.
  5. Wa Igima

    Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

    Ipi tofauti ya bei ya choo kibaya na kizuri ??.....nataka niangalie kipi kitanilipa ili niangalie kipi kitoke kwanza
  6. Wa Igima

    Naitambulisha kampuni yangu kwa WanaJF

    hizo tenda document zinapatikanaje.au kuna sehem zinapatikana
  7. Wa Igima

    Uzi maalum wa kupeana connection za kazi za udereva popote Tanzania

    Group lipo tayar mnaotaka kujiunga kazi kwenu. mcheck admin 0747998638
  8. Wa Igima

    Msaada, naona haki haijatendeka

    asante kwa mchango
  9. Wa Igima

    Msaada, naona haki haijatendeka

    karibuni wazee wa sheria mtoe msaada
  10. Wa Igima

    Msaada, naona haki haijatendeka

    Habari Wana JF, Adhabu inasemaje kwa mtu ambaye amekamatwa na baadhi ya vitu vya wizi. Je, anatakiwa kulipa vyote au kurudisha hivyo alivyo kamatwa navyo? Kisa kipo hivi, kuna mtuhumiwa alikamatwa na vitu vya wizi ye akadai aliuziwa lakini ushahidi ulikuwa unaonesha aliiba kesi ilikuwa ni ya...
  11. Wa Igima

    Msaada kuhusu biashara ya phones, phone accessories na vifaa vya umeme

    usiwaze jembe.japo watalam wanasuasua.sijui wapo kalantini
  12. Wa Igima

    Msaada kuhusu biashara ya phones, phone accessories na vifaa vya umeme

    nashukilu kwa mchango.ongezea bidhaa zingine unazo zifaham kama hutojari
  13. Wa Igima

    Msaada kuhusu biashara ya phones, phone accessories na vifaa vya umeme

    wanao jishughulisha na biashara ya julma msaada tafadhari wa bidhaa zinazo toka kwa halaka ikiwezekana wekeni na bei ili niangalie uwezekano wa kufanya biashara
Back
Top Bottom