Namna gani ya kusafirisha mzigo Tanzania kwenda Zimbabwe

Genecandy

JF-Expert Member
Dec 13, 2017
491
882
Salama wakuu naomba kusaidiwa jmn anayefahamu namna gani naweza safirisha mzigo wa biashara Tanzania to Zimbabwe kwa kuutuma mzigo i mean natuma mzigo huku kuna mtu anaupokea Zimbabwe ni gari gani na wapi ntazipata kwa Dar!!msaada pse!!
 
Tafta mchezaji mmoja wa mabingwa wa Tanzania katika soccer Simba then mpe mzigo akupelekee maana simba ina trip ya champions League kwenda huko.

Tahadhari::: usimpe mzigo wako mchezaji wa Utopolo hawa hua hawavukagi mpaka wala ndege hawapandi. Labda kombe la mapinduzi uwatume zenji.
 
Back
Top Bottom