Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 846
- 1,881
Habari Wakuu.
Mkuu carrier yangu bado haijaniruhusu kujiajiri nimesoma diploma ya nursing and midwiferyKama unapenda ulichosomea nadhani itakua vyema kujiendeleza kupitia hicho kuliko kuanza career mpya.
Hapo ulipo tayar una mtaji wa ujuzi ulopata chuoni.
Ushauri: Tafuta jinsi ya kuendeleza career yako.
Mzee kujiajiri sio kazi ndogoKo unataka kunambia wewe huwezi fanya chochote kwa hiyo diploma yako!
Unasubiri serikali au?
Kwanini usome kitu ambacho huwezi kukifanya mwenyewe?
Au ulilazimishwa?
All in all anza kuuza viatu ila ujue utasahau vingi vinavyohusu nursing na midwifery sababu hivyo vitu vinataka practice ili uwe mzuri.
Shule ni sehemu ya maisha na shule si sehemu ya kukufanya uwe na Maisha.Ko unataka kunambia wewe huwezi fanya chochote kwa hiyo diploma yako!
Unasubiri serikali au?
Kwanini usome kitu ambacho huwezi kukifanya mwenyewe?
Au ulilazimishwa?
All in all anza kuuza viatu ila ujue utasahau vingi vinavyohusu nursing na midwifery sababu hivyo vitu vinataka practice ili uwe mzuri.
Ninavyoongea hivi sio kwamba nimekaa kitandani napiga mzigo wa kueleweka biashara ila sio yangu so ninajua A Z ya biashara kwa kiasi na sio sana japo na mimi nishawahi kufanya biashara nilipoliwa chuoniMzee kujiajiri sio kazi ndogo
Ingekuwa kirahisi ivo graduates wengi wange kua wametoboa.
Sasa hivi hata kazi za kujitolea bure kulinda fani yako hupati mkuu, imekuwa ishu sana,
Bilashaka umeandika ukiwa unakata gogoKo unataka kunambia wewe huwezi fanya chochote kwa hiyo diploma yako!
Unasubiri serikali au?
Kwanini usome kitu ambacho huwezi kukifanya mwenyewe?
Au ulilazimishwa?
All in all anza kuuza viatu ila ujue utasahau vingi vinavyohusu nursing na midwifery sababu hivyo vitu vinataka practice ili uwe mzuri.
Nina miaka 2 sijanunua nguo juisi nimenunua sana tuKwa juisi hujanishawishi broo Angalia vitu common kwenye maisha ya watu, yani kitu ambacho mtu hawezi ishi bila hicho mfano mzuri ni msosi na mavazi.
Anaongea utafikiri hajui hali halisi inayoondelea nchiniBilashaka umeandika ukiwa unakata gogo
Mutumie ubongo kabla ya kuandika
Asante sana mkuu nimekuelewa .Nina miaka 2 sijanunua nguo juisi nimenunua sana tu
Juice inalipa wewe acha utani.Kwa juisi hujanishawishi broo Angalia vitu common kwenye maisha ya watu, yani kitu ambacho mtu hawezi ishi bila hicho mfano mzuri ni msosi na mavazi.
Hasubiri serikali ndio maana kajiongeza, wanaosubiri serikali wapo wamerelax wanapitia pitia pages za ajira mitandaoniKo unataka kunambia wewe huwezi fanya chochote kwa hiyo diploma yako!
Unasubiri serikali au?
Kwanini usome kitu ambacho huwezi kukifanya mwenyewe?
Au ulilazimishwa?
All in all anza kuuza viatu ila ujue utasahau vingi vinavyohusu nursing na midwifery sababu hivyo vitu vinataka practice ili uwe mzuri.
Wewe una million ngap za bitcoin?Fanya biashara ya crypto currency especially BITCOIN ni most profitable.kama hauijui Bitcoin jaribu kujifunza Kama hujui kwa kufanyia biashara for aid contact me 0622714603
Acha utapeli we dogoFanya biashara ya crypto currency especially BITCOIN ni most profitable.kama hauijui Bitcoin jaribu kujifunza Kama hujui kwa kufanyia biashara for aid contact me 0622714603