Recent content by wa hapa hapa

  1. wa hapa hapa

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Umeme Newala: Ni Wakati wa Kupata Suluhisho la Kudumu

    Hata mimi nilikuwepo huko siku chache zilizopita, nakubaliana na wewe. Cha kushangaza zaidi ni kwamba wananchi wenyewe wameshaizoea hiyo hali.
  2. wa hapa hapa

    JamiiForums Tanzania 🚨Fuga App sasa ipo live playstore !! Usiikose wewe mfugaji wa kuku

    Mbona haipatikani play store?
  3. wa hapa hapa

    JamiiForums Tanzania Mabati gani mazuri ya kuezekea nyumba?

    Naomba mawasiliano ya kiwanda cha ALAF
  4. wa hapa hapa

    JamiiForums Tanzania Mabati gani mazuri ya kuezekea nyumba?

    Naomba mawasiliano ya kiwanda cha ALAF
  5. wa hapa hapa

    JamiiForums Tanzania Mabati gani mazuri ya kuezekea nyumba?

    Naomba Mawasiliano ya Kiwandani ya kampuni ya ALAFU.
  6. wa hapa hapa

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi Mwatulole Sekondari (Geita) wakifanya makosa wanatozwa Sh 1,000

    Kama hutaki kulipa hiyo hela zingatia taratibu za Shule. Mimi nadhani changamoto ingekuwa endapo mtoto hajahudhuria shuleni na mzazi alishatoa taarifa kisha akalazimishwa kutoa hicho kiasi cha pesa, hoja yako ingekuwa na mashiko.
  7. wa hapa hapa

    JamiiForums Tanzania Utapeli gani uliwahi fanyiwa ukabaki unajicheka mwenyewe

    Hukwenda kudai hela yako kwa Meneja?[emoji23][emoji23][emoji23]
  8. wa hapa hapa

    JamiiForums Tanzania Ufugaji Nguruwe Kibiashara sio rahisi ila unawezekana🙂

    Nina Nguruwe(Wakienyeji) ni mwezi wa Sita now, ila bado sijaridhishwa na ukuaji wao. Huwa nawapa Pumba za mahindi za kutosha. Sijui unaweza kunishauri niongeze nini ili kuboresha ukuaji wao?
  9. wa hapa hapa

    JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa ya Tumbo

    Hakuna maumivu yoyote Dawa za minyoo nina muda sijazitumia Sijapima Choo Choo Cha kawaida tu
  10. wa hapa hapa

    JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa ya Tumbo

    Asante kwa ushauri,unaweza kunitumia picha ya huo mti nijaribu kuutafuta huku niliko.
  11. wa hapa hapa

    JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa ya Tumbo

    Habari za muda huu wadau? Nina tatizo la Tumbo "Kunguruma" linalonisumbua kwa muda mrefu sasa. Hali hii hunitokea zaidi wakati wa usiku, na siku za karibuni limeanza Kunguruma hata nyakati za mchana. Naomba msaada wa dawa ambayo ninaweza kuitumia.
  12. wa hapa hapa

    JamiiForums Tanzania Ufugaji bora wa sungura kwa ajili ya kukuza kipato

    100%
  13. wa hapa hapa

    JamiiForums Tanzania Ufugaji bora wa sungura kwa ajili ya kukuza kipato

    Hata Sungura wana hizo tabia pia
  14. wa hapa hapa

    JamiiForums Tanzania Ufugaji bora wa sungura kwa ajili ya kukuza kipato

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nazungumzia Sungura kama Sungura
  15. wa hapa hapa

    JamiiForums Tanzania Ufugaji bora wa sungura kwa ajili ya kukuza kipato

    Nashukuru sana mzee
Back
Top Bottom