Msaada wa dawa ya Tumbo

wa hapa hapa

JF-Expert Member
Aug 20, 2014
281
150
Habari za muda huu wadau?
Nina tatizo la Tumbo "Kunguruma" linalonisumbua kwa muda mrefu sasa. Hali hii hunitokea zaidi wakati wa usiku, na siku za karibuni limeanza Kunguruma hata nyakati za mchana.
Naomba msaada wa dawa ambayo ninaweza kuitumia.
 
Ungekuwa karibu ningekupa dawa za mitishamba ila ni chungu hatari. .

Ila hata Alovera inasaidia tumia hiyo, ila chungu sana. .
 
Ungekuwa karibu ningekupa dawa za mitishamba ila ni chungu hatari. .

Ila hata Alovera inasaidia tumia hiyo, ila chungu sana. .
Asante kwa ushauri,unaweza kunitumia picha ya huo mti nijaribu kuutafuta huku niliko.
 
Tumbo kukoroma, maumivu vipi...
Dawa za minyoo vipi ulishatumia?
Ulishawahi Pima choo?
Choo ni cha kamasi ama kigumu?
 
Sio minyoo hiyo nilikuwa na tatizo hilo la tumbo kuunguruma na kutoa sauti kubwa kama mtu alie jamba nilipoanza kutumia dawa za minyoo kwa sasa hiyo hali haitokei tena
 
Back
Top Bottom