Recent content by vyuku

  1. vyuku

    JamiiForums Tanzania Musukuma ashangaa kuwaona mitaani wanaoeneza taharuki sakata la bandari, ataka hatua zichukuliwe

    Mnakuwa wapumbavu Sana,angelikuwepo mbona zamani tu angelishakubali maana nae anataka maendeleo na huu mkataba tangu yupo alikuwa akifuatilia na kuutaka lakini bado muda ulikuwa haujafika
  2. vyuku

    JamiiForums Tanzania Musukuma ashangaa kuwaona mitaani wanaoeneza taharuki sakata la bandari, ataka hatua zichukuliwe

    Wanaoeneza habari hizo ni wapumbavu ukiangalia zaidi ni wale sukuma genge
  3. vyuku

    JamiiForums Tanzania Sikukuu ya wajinga imewadia ni tarehe 1-april

    Ni upumbavu hata hicho mnachokiandika mnajidhihirishia wazi kuwa ujinga mnaanza kuwa nyinyi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. vyuku

    JamiiForums Tanzania Mwenye nyumba yangu hataki nipike kitimoto

    Hataki uchafu
  5. vyuku

    JamiiForums Tanzania Hakuna pepo wala moto, maisha ya binadamu yakiisha yameisha

    Dah subhanallah Sent using Jamii Forums mobile app
  6. vyuku

    JamiiForums Tanzania Familia ya Malkia Elizabeth wa Uingereza inayopitia kwenye msukosuko baada ya mjukuu wake kujitoa kwenye ufalme

    Nonsense Sent using Jamii Forums mobile app
  7. vyuku

    JamiiForums Tanzania Kuna ulazima gani upikiwe na ule kwa mfiwa...?

    Hakuna ulazima ni kuwazifishia mizigo tu
  8. vyuku

    JamiiForums Tanzania Catherine Magige aendelea kuchanja mbuga

    Mbunge wa viti maalum mkoa wa Arusha mh Catherine Magige ameendelea na ziara yake ya kikazi leo wilayani Monduli. Akiwa kata ya mto wa mbu mbunge alikutana na baraza kuu la UWT wilaya monduli pamoja na wataalam(wakuu wa idara). Mh mbunge alifuatana na katibu wa UWT mkoa wa Arusha Irimina...
  9. vyuku

    JamiiForums Tanzania Shamimu na Mumewe bado waendelea kusota rumande, Mahakama bado inasubiri kielelezo kutoka kwa Mkemia Mkuu

    Hawa jamaa ni wakuwanyonga kabisa,mume alitaka kuwahonga askari milioni mia tatu lakini kwa uaminifu na utendaji mzuri wa maaskari wetu walikataa kupokea hizo fedha,lengo ni kutaka mkewe aachiwe huru ili akamatwe peke yake. Wamewaumiza sana wadogo zetu
  10. vyuku

    JamiiForums Tanzania Tusimdanganye Rais kwa uzembe wa aina hii.

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  11. vyuku

    JamiiForums Tanzania Tusimdanganye Rais kwa uzembe wa aina hii.

    Ni kweli mkuu
  12. vyuku

    JamiiForums Tanzania TANESCO mnakera: Yaani kuomba kuunganishiwa umeme barua na ukikosea kununua umeme nako tuandike barua?

    Mkuu ingelikuwa Tanesco ya Tabata ungelishatatuliwa matatizo yako haraka sana,lakini hao wengine wanakujibu hivyo kwa sababu tu hawataku kushuhulishwa kwa kazi zao wenyewe walizoajiriwa nazo.
  13. vyuku

    JamiiForums Tanzania Kwanini majina mengi ya kijaluo huanza na herufi "O"?

    Kwa sababu ni wajaluo.
  14. vyuku

    JamiiForums Tanzania Mengi: Bila K-lyn huenda ningeshakuwa nimekufa

    Alimzaa alizaliwa ma mtoto wake hata useme mjukuu wake?
  15. vyuku

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Amina Mollel kwa uthubutu kwa watu wa Arumeru Magharibi ambao kwa miaka mitatu walikosa wa kuwasemea kimaendeleo

    Hata kama kwenu lakini huna unachokijua kuhusiana na maendeleo,kwani kupajua kwenu ndio kusema utajua kila kinachoendelea?maana hata hujui kuwa pesa zilizojenga hospitali ya nduruma ziliombwa na Mh Amina Mollel na akapewa milioni mia tano,hujui hata kinachoendelea hata arumeru yenyewe huijui ya...
Back
Top Bottom