Hongera sana Amina Mollel kwa uthubutu kwa watu wa Arumeru Magharibi ambao kwa miaka mitatu walikosa wa kuwasemea kimaendeleo

vyuku

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
503
85
Kwa kipindi kirefu sana wananchi wa jimbo la Arumeru Magharibi hawakuwahi kupata mtu wa kuwasemea bungeni kwa matatizo mengi sana waliyonayo licha ya kuwa wana mbunge(chadema) ambae hajawahi hata mara moja kujitokeza jimboni kwake na hivyo kuwafanya wananchi wa Arumeru Magharibi kutomjua mbunge wao na kuwa wakiwa.

Mh Amina Mollel ni mbunge wa viti maalum Arusha kupitia watu wenye ulemavu,amekuwa mstari wa mbele bungeni kuwasemea wana Arumeru,aliwasemea kuhusu hospitali ya nduruma na kweli wakapatiwa milioni mia tano na sasa imekuwa hospitali bora hasa kwa wakina mama wajawazito,pia aliwasemea kuhusu hospitali nyengine hukohuko Arumeru na wakapatiwa milioni mia nne na kazi inaendelea ,aliwasemea suala la maji yenye floride kila siku bungeni ambayo yanasababisha ulemavu wa kupinda miguu na migongo kwa watumiaji, istoshe leo mbele ya Mh Rais Magufuli amemuomba tena suala la barabara inayosumbua sana kwa ubovu Arumeru, na bila hiyana Mh Rais amekubali ijengwe barabara hiyo na kuipandisha barabara hiyo na kuwa ya mkoa na kutoa amri ianze haraka kutengenezwa.

Leo tunawashuhudia wananchi wa Arumeru wakitarajia kunywa maji safi baada ya kufunguliwa rasmi mradi wa maji safi na Mh Rais.

Hii yote ni kwa juhudi za mbunge wa viti maalum Mh Amina Mollel kuomba mara kwa mara bungeni hatimae amefanikiwa.

Hongera sana jembe la Arusha Amina Mollel kwa uthubutu baada ya wana Arumeru Magharibi kwa miaka mitatu kukosa wa kuwasemea kimaendeleo japo kuwa wana mbunge wao.
IMG_0242.JPG
 
Attachments

  • IMG_0242.JPG
    IMG_0242.JPG
    219.3 KB · Views: 50
Huyo Amina Mollel ni mpuuzi tu hajui kwamba mbunge wa upinzani akisimama na watu watatu tu anakamatwa kafanya mkusanyiko siyo halali?
 
Kwa kipindi kirefu sana wananchi wa jimbo la Arumeru Magharibi hawakuwahi kupata mtu wa kuwasemea bungeni kwa matatizo mengi sana waliyonayo licha ya kuwa wana mbunge(chadema) ambae hajawahi hata mara moja kujitokeza jimboni kwake na hivyo kuwafanya wananchi wa Arumeru Magharibi kutomjua mbunge wao na kuwa wakiwa.

Mh Amina Mollel ni mbunge wa viti maalum Arusha kupitia watu wenye ulemavu,amekuwa mstari wa mbele bungeni kuwasemea wana Arumeru,aliwasemea kuhusu hospitali ya nduruma na kweli wakapatiwa milioni mia tano na sasa imekuwa hospitali bora hasa kwa wakina mama wajawazito,pia aliwasemea kuhusu hospitali nyengine hukohuko Arumeru na wakapatiwa milioni mia nne na kazi inaendelea ,aliwasemea suala la maji yenye floride kila siku bungeni ambayo yanasababisha ulemavu wa kupinda miguu na migongo kwa watumiaji, istoshe leo mbele ya Mh Rais Magufuli amemuomba tena suala la barabara inayosumbua sana kwa ubovu Arumeru, na bila hiyana Mh Rais amekubali ijengwe barabara hiyo na kuipandisha barabara hiyo na kuwa ya mkoa na kutoa amri ianze haraka kutengenezwa.

Leo tunawashuhudia wananchi wa Arumeru wakitarajia kunywa maji safi baada ya kufunguliwa rasmi mradi wa maji safi na Mh Rais.

Hii yote ni kwa juhudi za mbunge wa viti maalum Mh Amina Mollel kuomba mara kwa mara bungeni hatimae amefanikiwa.

Hongera sana jembe la Arusha Amina Mollel kwa uthubutu baada ya wana Arumeru Magharibi kwa miaka mitatu kukosa wa kuwasemea kimaendeleo japo kuwa wana mbunge wao.
View attachment 953220
Mbunge wa alumeru magharibi ni kutoka chadema? Anaitwa nani?
 
Hivi Arumeru Magharibi ni wapi?
Hata sielewi unazungumzia nini
Hospital mojawapo ilipata fund kupitia mradi wa kujitolea!
 
Kabla kukoment tafuta kwanza sehemu inayoitwa arumeru Magharibi,mashariki yupo Nassari tafuta magharibi ndio uje useme habari ya fund za kujitolea,hujui arumeru magharibi utajua habari ya miradi dogo?
Msidandie kabla kujua hata sehemu
 
Unahisi sipajui?
Nisipajue kwetu?
Hahahaaa
 
IMG_1076.JPG
 
HIKI ULICHOLETA NI KITU TOFAUTI. MLETA MADA KALETA HABARI YA ARUMERU MAGHARIBI KUWA HAKUNA MBUNGE WA KUWASEMEA. NA ULICHOLETA WEWE NI KWAMBA AMINA KAMCHONGEA NASSARY WA ARUMERU MASHARIKI KUWA AMETOKOMEA

Upo sahihi nimeshangaa huyo Amina kuwa msemaji wa Arumeru kwa ujumla

Kama haujaelewa Uhusiano hapo kaa pembeni

Hapo inadhihirisha huyo Amina ana lake jambo
 
Huyo dada hana mbele wala nyuma na ni lazima ajitahidi kutetea ubunge wake wa CHUPI ili aendelee kukumbukwa, wana Arumeru wote wanajua nini Nassari anakifanya.
 
Kwa kipindi kirefu sana wananchi wa jimbo la Arumeru Magharibi hawakuwahi kupata mtu wa kuwasemea bungeni kwa matatizo mengi sana waliyonayo licha ya kuwa wana mbunge(chadema) ambae hajawahi hata mara moja kujitokeza jimboni kwake na hivyo kuwafanya wananchi wa Arumeru Magharibi kutomjua mbunge wao na kuwa wakiwa.

Mh Amina Mollel ni mbunge wa viti maalum Arusha kupitia watu wenye ulemavu,amekuwa mstari wa mbele bungeni kuwasemea wana Arumeru,aliwasemea kuhusu hospitali ya nduruma na kweli wakapatiwa milioni mia tano na sasa imekuwa hospitali bora hasa kwa wakina mama wajawazito,pia aliwasemea kuhusu hospitali nyengine hukohuko Arumeru na wakapatiwa milioni mia nne na kazi inaendelea ,aliwasemea suala la maji yenye floride kila siku bungeni ambayo yanasababisha ulemavu wa kupinda miguu na migongo kwa watumiaji, istoshe leo mbele ya Mh Rais Magufuli amemuomba tena suala la barabara inayosumbua sana kwa ubovu Arumeru, na bila hiyana Mh Rais amekubali ijengwe barabara hiyo na kuipandisha barabara hiyo na kuwa ya mkoa na kutoa amri ianze haraka kutengenezwa.

Leo tunawashuhudia wananchi wa Arumeru wakitarajia kunywa maji safi baada ya kufunguliwa rasmi mradi wa maji safi na Mh Rais.

Hii yote ni kwa juhudi za mbunge wa viti maalum Mh Amina Mollel kuomba mara kwa mara bungeni hatimae amefanikiwa.

Hongera sana jembe la Arusha Amina Mollel kwa uthubutu baada ya wana Arumeru Magharibi kwa miaka mitatu kukosa wa kuwasemea kimaendeleo japo kuwa wana mbunge wao.
View attachment 953220
Hao wananchi atawasikiliza saa ngapi wakati mbunge wa upinzani hatakiwi kusimama na watu zaidi ya 3? Unataka akamatwe?
 
Unahisi sipajui?
Nisipajue kwetu?
Hahahaaa
Hata kama kwenu lakini huna unachokijua kuhusiana na maendeleo,kwani kupajua kwenu ndio kusema utajua kila kinachoendelea?maana hata hujui kuwa pesa zilizojenga hospitali ya nduruma ziliombwa na Mh Amina Mollel na akapewa milioni mia tano,hujui hata kinachoendelea hata arumeru yenyewe huijui ya magharibi na ndio maana ukatuuliza ndio wapi?
Hebu jifunzeni ukweli kwanza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom