[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda ndio muonekano wake mpya huko mbinguni [emoji3] [emoji2]
Labda ndio muonekano wake mpya huko mbinguni [emoji3] [emoji2]
[emoji28][emoji28][emoji28]Sanamu ya steve nyerere
Jana tumeona sanamu yenye taswira ya baba wa Taifa ambayo kiukweli tunadanganyana kwa kupewa kitu kisicho sahihi au labda kama kuna sababu ambayo hatuijui.
Yote kwa yote haiingii akili bado, kwa hilo sanamu, hapa najaribu kuweka tofauti kwa kituko nilichokiona na nyingine iliyopatikana.View attachment 1150754
Hii [emoji115] na hii [emoji116] nani anafaa kutumiwa?
View attachment 1150758
Moderator angalia content usiunganishe uzi tafadhali.
Duuh noma.icho kibabu siyo Baba wa Taifa.Eti ndiye Baba yetu wa Taifa...!!
Mbona aliye'danganywa' ana macho? Mnataka kusema hakuona?Jana tumeona sanamu yenye taswira ya baba wa Taifa ambayo kiukweli tunadanganyana kwa kupewa kitu kisicho sahihi au labda kama kuna sababu ambayo hatuijui.