Sikukuu ya wajinga huwa tar 1/4. Siku za nyuma ilikuwa maarufu sana. Ila siku hizi imerudi kwa kasi tena watu kudanganywa. Sikukúu huanza alifajiri na kwisha saa nne.. Nachotaka kujua ni wapi asili ya hii sikukuu ? Je ina uhusiano na dini yoyote ? Je kwanini isipigwe marufuku ?