Tatizo sio gharama ya uandaaji bali kujua inauwezo wa kuelimisha jamii na kuilinda jamii maana film nyingi bongo huwezi angalia ata na mwanao
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
R. I. P bint mbele yako nyuma yetu
Nitawaapa husia wanangu wote asitokee ata mmoja kuingia ktk fani hii ya askari maana laana itakua juu yao
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
mimi nimewaambia kuwa nimeomba kipindi REA wanaweka nguzo wakasema mtaa hauko kwenye ramani na Nimefika mpaka ofisi za wilaya meneja Kaniambia hayo majibu no 0620244186 jina DANFORD MHEBUKA
Mimi nipo wilaya ya Tunduru naamini TANESCO ndio wasimamizi wa mradi wa REA .
Nilihitaji kufungiwa Mita ktk Kijiji cha muhuwesi kwa Nyumba ya mama ila nilipoenda kulipa mara ya kwanza Walisema mtaa haupo kwenye ramani. Na cha kushangaza zaidi waliweka nguzo ktk mtaa wetu na kutoa nilipoenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.