Recent content by vvvv

  1. vvvv

    JamiiForums Tanzania Kwa Mil 6 Unapata iPhone 17 Pro Max Bila Charger wala Cover au BMW 3 Series na chenji ya Service!

    Mtaani tunajua dungu lipo kama HIECE, ila hilo aliloweka jamaa hapo juu ni kutafuta matatizo tu
  2. vvvv

    JamiiForums Tanzania Kwa Mil 6 Unapata iPhone 17 Pro Max Bila Charger wala Cover au BMW 3 Series na chenji ya Service!

    Dungu gani ya mil 6? Nifafanulie
  3. vvvv

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Clatous Chama kurejea Simba Sc kwa mara ya 3

    Viongozi watakuwa hawana akili
  4. vvvv

    JamiiForums Tanzania The national heavy weight end of the year clash

    Unaleta uzi halafu hamna matokeo
  5. vvvv

    JamiiForums Tanzania Hammo Rapper apigwe marufuku kuongea kiingereza. Analitia aibu taifa

    Atakuwa kapiga tu picha na hilo joho,huwezi kugraduate halafu ukaongea kiingereza kibovu hivo
  6. vvvv

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 MVOMERO: Mbunge Sara Msafiri baada ya kuchaguliwa Kwa kishindo Oct 29 aanza kuwatumikia Wananchi wake kwa Unyeyekevu mkubwa

    Kikao kimoja tu kelele kibao na kujisifia,pelekeni huko upimbi hamna aliyewachagua
  7. vvvv

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 RC Chalamila: Hatukusema Wananchi wakae ndani

    Haeleweki hata anachosema
  8. vvvv

    JamiiForums Tanzania SHETA hatoshi kuwa Meya wa Jiji la Dar es salaam, CCM fanyeni vetting ya viongozi wa wakubwa

    Akili ya Sheta haina tofauti na ya mama yako
  9. vvvv

    JamiiForums Tanzania Jezi za Yanga za Champions League zaibua Taharuki Mashabiki wapanga kuandamana

    Jezi ya njano inaonekana kama wamebeba mabksi vifuani, ya kijani kama wamevaa jezi mbili,hiyo nyeusi ndo takataka kabisa
  10. vvvv

    JamiiForums Tanzania Kuchanganyikiwa na kutokuwa na akili kwa wanaojiita wanaharakati

    9 december ukipona una bahati
  11. vvvv

    JamiiForums Tanzania Eti wazanzibar? ndio wanaohusika? Are you seriously?

    *Rais wa Tanzania anaweza akawa Mzanzibari,na Zanzibar ina Rais wake ambaye hawezi akatokea bara. *Kuna bunge la serikalia ya mapinduzi ya Zanzibar ila hamna mbunge mbara anaweza kuwa kwenye baraza la serikali ya mapinduzi ya Zanzibar. *Mbara hawezi kununua ardhi zanzibar ila wazanzibar...
  12. vvvv

    JamiiForums Tanzania Huyu Hapa Ndiye Waziri Mkuu Mpya Atakayeteuliwa Na Rais Samia

    Mnawaza madaraka tu kwa maslahi yenu.
  13. vvvv

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rest in peace Valentina (JF Member)

    Alikuwa active sana miaka ya 2013 hadi 2017 hivi,members wapya ngumu kumfahamu
  14. vvvv

    JamiiForums Tanzania Viongozi Yanga tunataka mtuletee Soup na Chapati Uwanjani pamoja na Maji

    Usijali wataletewa na gongo
Back
Top Bottom