Recent content by Vupu

  1. Vupu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Marekani Kuishambulia Iran muda wowote kutoka sasa

    alafu , acheni kutuletea mada za kusadikika hapa .. lini hawa dog WA america wakafanya mission bila NATO?
  2. Vupu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tangu nimeanza kupata mshahara nimekuwa mlevi sana. Nawezaje kuacha?

    Mimi mwenyewe nimekuwa mnywaji sana .. hizi pesa za mshahara hazifai kutegemea kwa maendeleo sijui zina nini
  3. Vupu

    JamiiForums Tanzania Barabara zilizojengwa chini ya Rais Magufuli kwa kipindi cha miaka mitatu tu

    acha uongo wew ... sumbawanga to kanazi mpka kibaoni haijajengwa na awamu hii wadanganye wasiojua tu .. Mimi ni mmoja WA mashahidi .. imejengwa na American people awamu ya kikwete na pinda
  4. Vupu

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu hifadhi mpya ya Burigi- Chato

    namimi naanzisha kahifadhi kangu huku nkasi .. nileteeni wanyama basi
  5. Vupu

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa ya kumpongeza Rais Magufuli. Burigi Chato national park

    Amri toka kwa nani ? ujuaji mwingi mbele Giza .. NEC tuondoleeni huyu mtu
  6. Vupu

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanyama wahamishiwa hifadhi ya Burigi

    tulidhani jamaaa atakuwa wa mfano sasa amekuwa wa kutengwa fikra zake
  7. Vupu

    JamiiForums Tanzania Aliyetajwa kujichomeka kwenye msafara wa Mrisho Gambo ni nani?

    kick! awamu ya 5
  8. Vupu

    JamiiForums Tanzania TBC hovyo kweli wamekatisha Bunge kujiunga Ikulu

    hivi yule yeye peke ake ndiye mmiliki wa TBC?
  9. Vupu

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli mgombea Urais CCM 2025 ni Dr. Bashiru Ally Kakurwa?

    hebu tutoleeni maajabu yenu hapa , huyo hafai hata kidgo
  10. Vupu

    JamiiForums Tanzania Je, ile juhudi kubwa ya Rais JPM kutafuta Flash katika Koti lake la Suti angeihamishia katika hili tusingefanikiwa?

    hivi najiuliza kwani ilikuwa lazima atoe kaflash mbele za watu?
  11. Vupu

    JamiiForums Tanzania Huenda Rais Magufuli akawa ameumaliza rasmi ule ubishi wa Chuo Kikuu gani bora kati ya SAUT na UDSM

    mi nadhani tatizo ni wasomi wanaotoka udsm kujipendekeza kwa ccm
  12. Vupu

    JamiiForums Tanzania Unafahamu nini kuhusu Andrew Chenge?

  13. Vupu

    JamiiForums Tanzania Hakika Watanzania Tuna bahati

    yaan sijui unaandk nn
  14. Vupu

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Tanzania ni pasua kichwa

    tatizo ni MTU mmoja tu
  15. Vupu

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje siku ya mwisho Mwizi wa kuku achomwe Moto sawa na Mwizi wa Mabilioni

    hizo ni story tu !! hakuna ajuae
Back
Top Bottom