Msaada: Tangu nimeanza kupata mshahara nimekuwa mlevi sana. Nawezaje kuacha?

Status
Not open for further replies.
Wakuu hivi kwanini tangu nimepata hii kazi nimekuwa mlevi sana?

Natamani sana kuacha ulevi lakini nashindwa, ushauri wenu wakuu. Pesa zote za mshahara naweza kumaliza kwenye ulevi

Tafadhali atakaonipa dawa nakufanikiwa nitamzawadia.

Asante
Tatizo sio mshahara, hiyo ni tabia ya fedha ilivyo, yaani kazi ya pesa ni kukufichua tabia yako ya ndani, hivyo kwa mshahara huo unaweza kujijua una tabia gani zilizojificha, hivyo pambana na hali yako.
 
Ukiachishwa ndio utaweza tu.
Wakuu hivi kwanini tangu nimepata hii kazi nimekuwa mlevi sana?

Natamani sana kuacha ulevi lakini nashindwa, ushauri wenu wakuu. Pesa zote za mshahara naweza kumaliza kwenye ulevi

Tafadhali atakaonipa dawa nakufanikiwa nitamzawadia.

Asante
 
Wakuu hivi kwanini tangu nimepata hii kazi nimekuwa mlevi sana?

Natamani sana kuacha ulevi lakini nashindwa, ushauri wenu wakuu. Pesa zote za mshahara naweza kumaliza kwenye ulevi

Tafadhali atakaonipa dawa nakufanikiwa nitamzawadia.

Asante
Kula ujana mkuu maisha mafupi haya
 
Mimi mwenyewe nimekuwa mnywaji sana ..

hizi pesa za mshahara hazifai kutegemea kwa maendeleo sijui zina nini
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom