Kila kukicha utasikia hili ama lile kuhusu kuibwa kwa mali za nchi yetu Tanzania. Juzi Madini ya Mwadui, Jana Yuraniamu ya Bahi, Leo Mabilioni hazina, kesho gesi ya Mtwara, kesho-kutwa Twiga, ndovu na faru; lahaullal!
Moja ya sababu ni kwa vile tunavyo vya kuibwa. Maana Tz ingekuwa fukara...