Recent content by Vpn01

  1. Vpn01

    JamiiForums Tanzania Dunia ikuchanganye na mwanamke naye akuchanganye !

    Umegusa penye mshono
  2. Vpn01

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Hello
  3. Vpn01

    JamiiForums Tanzania Umri unachosha

    Unaweza ukawa n mke na bado ukawa hupewi. Yaani unaiona ila huwezi igusa. Ndoa zina vituko sana
  4. Vpn01

    JamiiForums Tanzania Tuwafanye wake zetu kuwa marafiki, hata kama tunachepuka

    Jiwe gizani hili
  5. Vpn01

    JamiiForums Tanzania Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

    Nikuhakikishie jambo moja, ukija kuishi na single mother utakuja kupata sababu za kwa nini aliachana na mzazi mwenzie!
  6. Vpn01

    JamiiForums Tanzania Naomba List ya Movies zenye maudhui ya kusikitisha

    Mimi ni mgumu kutoa chozi, ila hiyo PERSUIT OF HAPPINESS imenishangaza, chozi limenitoka japo kwa kulazimisha, hasa jamaa alipokubaliwa kufanya kazi, ile reaction yake labda uwe na moyo wa jiwe
  7. Vpn01

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa hili la kutopigia ndugu simu

    Safi, ujumbe wako umenitia nguvu maana ndiyo hali ninayoipitia. Nikifa kila kitu kimeisha, atakayenizika simjui
  8. Vpn01

    JamiiForums Tanzania Wanaume ni kipi kinafanya umepachukia nyumbani kwako?

    Ubunifu wa mke umekwisha, hajali tena kama zamani usafi wa nyumba. Pia ulevi wa kufuatilia tamthilia za azam umemfanya kupuuzia mambo mengine ya msingi. Raha ya kurudi home nilipopajenga kwa maumivu makali imepungua sana. La mwisho ni kamdomo na visirani... Aaah bora nikeshe bar na wana
  9. Vpn01

    JamiiForums Tanzania Kwanini wananchi hufurahia vifo vya viongozi wao au watawala wao?

    ETI WANASEMA NGUVU ILIYOTUMIKA ILIKUWA KUBWA!!!! NDOGO NI IPI??? Tatizo linaanzia hapo kwanza
  10. Vpn01

    JamiiForums Tanzania Tupunguze Siri Wakuu

    Kuna kipindi nilikuwa na pesa bank nyingi tu, nikaona ni bora nimshirikishe mwenzangu ili tuone tunafanyaje. Ila kabla sijafikia hatua ya kumshirikisha ikatokea hali ya kutokuelewana na mwenzangu ktk hali tu za kimaisha. Nikasema hebu subiri kwanza nisimshirikishe. Tofauti zetu zilipozidi oooh...
  11. Vpn01

    JamiiForums Tanzania Kati ya mwanamke na mwanaume, nani huathirika zaidi ikitokea ndoa imevunjika?

    Anaweza kuathirika yeyote kutegemeana na aina ya maisha mliyokuwa mkiishi na muda mlio ishi pamoja. Ndoa inapovunjika mara nyingi ni furaha kwa mmoja na huzuni kwa mwingine... Kusema mwanamke pekee ndiye anayeathirika zaidi kwenye kila anguko la ndoa HAPANA. Yeyote yule anaweza anguka kivyovyote...
  12. Vpn01

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wale wote walio single

    Ni kweli maisha ya single yana upweke sana hasa ukiwa tayari umeanza kujipata kimaisha... Ila sasa ni maisha fulani utakayokuja kuyamiss sana ukishaingia kwenye ndoa na mtu asiye sahihj, hasa uhuru ulio nao sasa
  13. Vpn01

    JamiiForums Tanzania Hasara za kuwa baba wa kambo

    Jidanganye hivyo hivyo
  14. Vpn01

    JamiiForums Tanzania Kipi kimekufanya udumu kwenye mahusiano yako mpaka leo?

    Haki mwanamke kama huyu nitampenda mpaka naingia kaburini
  15. Vpn01

    JamiiForums Tanzania Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)

    Maana ya ndoa ni UTAPELI Kama kuna maana nyingine ya ndoa kwa kizazi hiki basi kila mtu ashinde mechi zake
Back
Top Bottom