Recent content by vpm

  1. vpm

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu ku-track simu

    Wahuni si watu wazuri wanauza vyote mashine wanatupa!!! Utatrack weeeee mika buku
  2. vpm

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujuzwa namna ya kuifunga simu iliyoibiwa; IMEI ninazo

    Una ilock kwa imei mabuda wanakuja jaza izo boxes imeya no mzigo unarudi hewani
  3. vpm

    JamiiForums Tanzania Ni huduma gani au ofa gani ya mitandao ya simu uliwahi kuifurahia?

    Safaricom buana!!!! Paypal concerning
  4. vpm

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuzuia computer ya mtu isiingie kwenye internet

    Naona unajitafitia simu ya kujitundika mdogo mdogo
  5. vpm

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kubadili Imei ya simu bila ku-root simu yako

    Naona kuna watu wananukia kuula ugali maharage wa bure
  6. vpm

    JamiiForums Tanzania Hii njia Unaweza kuidharau lakini ndio pekee ya kuwa na uhakika mtoto ni wako bila DNA

    Huko porin kwenu hakuna mlinzi? Shamba boy?? Na hata mpambe wako wawili au 1 sasa wewe piga tonge kiuchovu uone kama huyo huko porin asiwwtengee wanaojua kukata tonge vizur
  7. vpm

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kambo wa kaka yangu ni haramu kufanya naye ngono?

    Ungegegedua b4 bro wako hajamuoa huyo mama no kosa ila asaiv undugu upo kwa sababu bro wako kauunganisha na huyo ni mwanao. Naww watakiwa umshauri we ndo kwanza waona rahaa kujichatisha vileeee!!!! Bro cku likibuma ndo utajua damu ya bro wakoimeunganishaje ss!!!
  8. vpm

    JamiiForums Tanzania Wachaga watabaki kuwa wake bora daima...

    Duuuh!!
  9. vpm

    JamiiForums Tanzania Wachaga watabaki kuwa wake bora daima...

    Me naaamin mbele ya mafanikio hakuna kabila!! Hawa wachaga sio wote wametajirika na sio wote wapiga kazi. Kwanza ni wanywaji, wauaji wachawi, pia wabaguzi haya hujayaona?
  10. vpm

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kujua kama simu yangu imedukuliwa?

    Si aangalie pale juu ya simu pia kunakuwaga na kialama cha fowaded
  11. vpm

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ambaye hajanioa anataka nimfulie nguo

    Unafeli!!! Kama simu yake unataka usome sms zake ule kwake pesa upokee, jamaa akupe show na nauli juu. Kikazi kimoja cha kufua tu!! Jitafakali
  12. vpm

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Io game kwa simu zetu za mtk uwaga aitaki je tufanyeje icheze?
  13. vpm

    JamiiForums Tanzania Tupeane ujuzi wa app ya premise

    Na kwa ss je mida ipi mizur ya kuipata?
  14. vpm

    JamiiForums Tanzania Tupeane ujuzi wa app ya premise

    Habari zenu wadau, Natumain tu wazima, nlipenda leo tujadiliane juu ya app ya premise. Kwa kuanza tu hii ni app ya kupata vijipesa online haitajirishi ila ni ya kupata pesa za vitunguu tu. Napenda wajuzi waje watueleze vitu vifuatavyo: 1. Muda wa kupata survey za picha 2. Jinsi ya kupata...
Back
Top Bottom