Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

cjui hata nikuelekeze vipi kwa mfano umepiga picha eneo flani ila hutaki vitu vilivyo nyuma yako vionekane sasa kuviwekea shade fulani visionekane kwa mbali ndo nachotaka yaani ibaki picha kama picha nimejaribu brul ila wanazingua sio app nzuri uki edit picha inatia shade mpaka picha yenywe xo inakuwa haina mwonekano mzuri!!
.mkuu nipe maelezo kidogo unataka app ya kuedit background kivip mkuu maaan apps zpo ming
 
cjui hata nikuelekeze vipi kwa mfano umepiga picha eneo flani ila hutaki vitu vilivyo nyuma yako vionekane sasa kuviwekea shade fulani visionekane kwa mbali ndo nachotaka yaani ibaki picha kama picha nimejaribu brul ila wanazingua sio app nzuri uki edit picha inatia shade mpaka picha yenywe xo inakuwa haina mwonekano mzuri!!

Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Io game kwa simu zetu za mtk uwaga aitaki je tufanyeje icheze?
Kinachofanya simu licheze au lisicheze ni uwezo wa RAM ( Random access memory) sasa kama simu yako ni chini ya RAM gb 1 tegemea litazingua tu kwa ma game makubwa.

Nb; unashauriwa uwe na simu angalau yenye uwezo wa RAM gb 1 kuendelea huko ili game licheze kwa ufanisi mkubwa.
 
mambo ni mengi sana,ndio sababu tuanshauriwa kununua simu nzuri zenye processor nzuri pia.

nilikuwa na sony g3262,ni mediatec chipset lina ram 4gb ila zito lina crash vitu kibao.
 
cjui hata nikuelekeze vipi kwa mfano umepiga picha eneo flani ila hutaki vitu vilivyo nyuma yako vionekane sasa kuviwekea shade fulani visionekane kwa mbali ndo nachotaka yaani ibaki picha kama picha nimejaribu brul ila wanazingua sio app nzuri uki edit picha inatia shade mpaka picha yenywe xo inakuwa haina mwonekano mzuri!!
.nmekupata mkuu appps zpo nying za kuweka blur ila znaitaj kaucreative kidogo kuna app kama after focus ni nzur sema sio simple kiiivyo mkuu ila ata befunky pia unaweza tumia ni nzur kuwekea lakin znatumia ka muda kidgo labda untumia ka pic ka moja pm nkuoneshe jins ya kuweka kama hautojali lakn
 
Ni game la aina gani kwanza?
.la mabas mkuu liko poa sanaView attachment 1597390
IMG-20201008-WA0091.jpg
 
Back
Top Bottom