kuna mengi tunahitaji kujua kuhusu kifo cha Nyage, what really happened? huyu jamaa alikuwa msomi mzuri tu tena tajiri, anakufa kifo cha kujirusha gholofani.....mhh
Pole sana ndugu haya mambo ungeyaleta miaka ile....siyo leo too late! kama ni ulaghai basi baba yake ni yule aliyekisajiri na ndiyetunapaswa kuanza naye. Pia fuatilia hesabu za pesa ya viwanja vya michezo, packing, vyumba vya kupangisha n.k hapa kunatatizo kubwa sana kuliko hizo sadaka za...
Kweli tuna wakati mugumu kama taifa, yaani mtoa maada anadhani na kuamini kuwa mfumo mzuri pasipo watendaji wenye uwezo na nia thabiti inatosha kubadili elimu ya tanzania? kazi kweli kweli!!! kama ulivysema eti tuige mfumo wa shule za wakatoliki, yaani unadhani huo mfumo wa shule za wakatoliki...
Pole sana, kwataarifa tu; kazi ya mbunge na diwani ni kuifanya serkali ifanye kazi na kutimiza wajibu wake kwa wananchi. Kwa hiyo iwapo serkali imefanya miradi ya maendeleo Musoma ni kwa sababu inasimamiwa ipasavyo na ndo maana hawakutekeleza kabla ama hawakupeleka miradi hiyo sehemu nyingine ya...
Hongera sana! kumbuka kusimamia njia uliyopitia kupata kazi (imani katika Yesu kristu) toa shukrani na kutimiza yote yanyoukupasa na ulipotoa ahadi usisahau kuitimiza ni muhimu sana kwa maendelea yako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.