Recent content by Von soden

  1. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni mwanamke au mwanaume wa mwonekano upi anayekuvutia?

    una hekima sana mpendwa,nilikuwa nasubiri mtu mwenye mtizamo kama wako thumb up
  2. V

    JamiiForums Tanzania Kuvimbisha nyonyo na kuyanyanyua ni urembo au mitego?

    lafiki yangu huo ni ulembo tu unafikili wanaume tunapenda kilahisi lahisi thubutuuu
  3. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vyakula vinavyoengeza hamu,nguvu ya kufanya mapenzi

    Mleta mada Nitakulaumu Daima Kama hautakuja tena kutaja ain't ya vyakula vinavyoongeza uwezo wa kufikiri na akili
  4. V

    JamiiForums Tanzania Mahudhurio bunge la jamhuri yanakatisha tamaa

    Bora wasihudhurie watatukanana bure
  5. V

    JamiiForums Tanzania Read: Haya nayo yakutie Moyo unayekata tamaa na Maisha

    Umenena vyema ila mbona hakuna mtanzania hapo?
  6. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa module pasua kichwa

    if you real know that your strength is little,don't carry heavy loads.
  7. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa module pasua kichwa

    Kumbe elimu inaleta uzuri!!,umenifumbua macho nilikua sijui
  8. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada

    Mbona hapo Jibu ni simple tuu,,huyo yupo kundi la animalia
  9. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akhaa babu ukubwa kitu gani?...

    Pole sana,,yani kumiliki k bhana ni kama kutembea na pesa mda wooooote mashaka mara huyu aguse t.ako, mara huyu anaomba eti ana hamu,huyu nae anakudanganya kwamba anataka akuoe,mara huyu anataka akubake ghoosh!. Poleni sana wanawake
  10. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania lady for weekends

    Unakuja kuchungulia comments unadhani umandika jambo la maaaana.
  11. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waungwana naomba kufahamishwa

    Utapeli wa kijinga sana huo, sijui kama kuna b.wege yeyote aliyewahi naswa
  12. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Do you think white people are more beautiful?

    Je tukipewa nafasi ya kumchagulia rangi mtoto aliye tumboni azaliwe akiwa na rangi gani,tutachugua black kweli???? Au tanjifariji tu, maana hadi leo sjaskia wazungu wakitumia madawa ya kupunguza weupe na kuongeza weusi.
  13. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Do you think white people are more beautiful?

    UBAGUZI WA NGoZI
  14. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu wengi wamekuwa na mahusiano mengi zaidi na watu wa makabila yao

    Alaaaah kumbe,,!
  15. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utamu wa mapenzi ni hivi

    Ndo kwanza nasikia leo habari hizi..kumbe!
Back
Top Bottom