Read: Haya nayo yakutie Moyo unayekata tamaa na Maisha

Renzel

New Member
Jun 12, 2013
3
11
Nilibakwa nikiwa na
Umri wa Miaka 9" -
Oprah Winfrey

"Sikumaliza hata
Elimu yangu ya
Chuo" - Bill Gates

"Kwenye Maisha ya
Utotoni, Nilidhurumu
Viatu" – Abraham
Lincoln

"Nilipata sana shida
katika kipindi chote
nilichokuwa Shule" -
Dr Ben Carson

"Nilikuwa nauza Chai
Dukani ili niweze
kupata Hela kwa ajili
kufanikisha
Mazoezi" - Lionel
Messi

"Nililala Sakafuni
kwenye Vyumba
vya Marafiki , nikiwa
nakusanya Chupa za
Coke kwaajili ya
Hela ya Chakula, na
pia kupata Chakula
cha Bure cha Wiki
kinalichotolewa na
Wahisani" - Steve
Jobs

"Mwalimu wangu
alikuwa akiniita
Anayefeli" – Tony
Blair

KUMBUKA:
Maisha sio kile
ambacho
hujakifanya mpaka
sasa, ila ni juu ya
kile ambacho bado
una muda na uwezo
wa kukifanya!!!
USIKATE TAMAA
 
La maana lipo kama, utazitafakari kauli hizo, Hatua waliyofikia watu hao

Lipi ebu ntoe tongo za macho. Hapo kilichooneshwa ni gap toka walipokuwa hadi walipo. Je wamefikaje is still a misery!! Unataka kusema hayo yalitokea tu? Tusidanganyane bana, hizo kauli wala sio za kupeana moyo
 
Shida matajiri/wenyemafanikio wengi huwa hawasemi walifanyaje kufika walipo. Husema tu nilikua hivi na sasa nipo hivi.Huwa ni siri yao. Kwa hilo hawawasaidii wenginea Labda ni bilionea mmoja tu huwa anasema mbinu alizotumia kupata pesa, huwa pia anawaelekeza wengine bure mbinu za kupitia,na huwa namuelewa. Ni muafrika,mzimbabwe anaitwa Strive Masiyiwa.
 
...bakhresa alianza kwa kushona viatu...mengi aliuza mkaa...edwin mtei alichunga mbuzi....endelea..
 
Tena mama yake alikuwa ni part time cleaner tu. Mwalimu wake ndio alimchukua na kumsaidia kufikia ndoto zake . Yani nyuma ya MTU mkubwa mwenye mafanikio huwa kunakuwa na great story

Duh kumbe anatoka mbali aise, amshukuru sana mwalimu wake
 
Shida matajiri/wenyemafanikio wengi huwa hawasemi walifanyaje kufika walipo. Husema tu nilikua hivi na sasa nipo hivi.Huwa ni siri yao. Kwa hilo hawawasaidii wenginea Labda ni bilionea mmoja tu huwa anasema mbinu alizotumia kupata pesa, huwa pia anawaelekeza wengine bure mbinu za kupitia,na huwa namuelewa. Ni muafrika,mzimbabwe anaitwa Strive Masiyiwa.

Hebu tupe kidogo na sisi mkuu.
 
Back
Top Bottom