Vyakula vinavyoengeza hamu,nguvu ya kufanya mapenzi

Vyakula vinavyoengeza hamu,nguvu ya kufanya mapenzi

Kitimoto na serengeti baridi wewee ! mimi binafsi huwa vinanipandishia mzuka, kama mama ngina yuko mbali, unaweza ukanikimbiza hospitali, hii ni kwa mimi tu

mama ngina akiwa amesafili unapumzika kula na kunywa au michepuko itahusika..???
 
Ila hata ukila maziwa na korosho ming sperms zinakuwa ming sana unaweza kujaza kikombe ya kahawa yan!

Swala sio kutoa sperm nyingi ni kuwa na nguvu za kusafiri mwendo mrefu,unaweza kukojoa nyingi baada ya kutumbukiza tu ukawa umechafua tu mwenzako
 
nitajaribu kuanzia sasa, ole wako nisione mabadiliko.


Sent from my iPhone using JamiiForums
[/QUOTE]

Naan,chukua asali kijiko kimoja cha chai, saga kitunguu swaum punje mbili, halafu koroga kwenye asali. Halafu jioni ingia 6*6 na shemeji! Fanya hilo kesho mchana, ucku ingia 6*6! Jumapili tuletee mrejesho! Au nipe mrejesho wa PM, kama kuna tofauti, niarifu!
 
Nakumbuka hesabu za seti kuu na seti ndogo. Hakuna chakula duniani kisichofanya kazi hii. Ili uweze kupiga game kisawasawa unahitaji mifupa imara, kwa nini usile dagaa..
 
Dah...! Oats tena nilishaacha kunywa chai kitambo nipo na oats kwa kwenda mbele.

Ila Oysters watamu aiseee...bila kusahau kepper fillet asubuhi ila shombo lake balaa...
 
Mleta mada Nitakulaumu Daima Kama hautakuja tena kutaja ain't ya vyakula vinavyoongeza uwezo wa kufikiri na akili
 
Mama Ngina kesha nizoea mara nyingine huwa ananikataza nisitumie hii kitu lakini kitu roho inapenda niko radhi kula kwa kificho ila mziki wake atagundua tu maana mr. Qualifier akisimama wima ,mpaka asikie jogoo anawika ndo kwa ubishi anakubali kushusha bendera
Mkuu wewe na mtambuzi majina ya watoto wenu yanafanana au majina ya wake zenu yanafanana? ngina maana yake nini?
 
eti bunge la bujeti si linakaribia kuisha wajameni, nimelimis bunge la katiba hasa kwa elimu ya uraia nayo pata
 
Mmesahau mkuyati wapi masai aje baelesee
 
Wataalamu wa mapenzi na wanasaikologia wanakubalia ni kwa kiasi gani vitu unavyokula vinahusiana na uwezo wako wa kufanya mapenzi. Kwa umakini kitu chochote kizuri kwa moyo wako ni kizuri kwa tendo la ndoa. Vifuatavyo ni vyakula vinavyoongeza hamu na nguvu ya kufanya mapenzi.

1. Spinach na mboga za Majani

Spinach ni chanzo kikubwa cha magnesium ambayo inasaidia kupanua mishipa ya damu, kwa mujibu wa watafiti wa Kijapani. Utiririkaji mzuri wa damu kwenye viungo vya uzazi (kama ulivyofundishwa) huongeza mhemuko kwa wanaume na wanawake.

2. Chai isiyo weka vitamu (Unsweetened tea)

Antioxidant catechin inayopatipatikana katika chai inasaidia mtiririka mzuri wa damu mwili mzima kwa hivyo kuongeze uwezo kwa kufanya tendo a uwezo wa ubongo, inasaidia kuongeze kumbukumbu pia umakini.

3. Machungwa

Wanaume wanaokula zaidi ya miligramu 200 ya vitamin C kwa siku wanaongeza wingi wa manii na uwezo wa mapenzi, hii inathibitishwa na utafiti ulofanywa na Chuo cha University of Texas Medical Branch.

4. Mayai

Mayai yana vitamin B6 na B5 ambayo inasaidiwa kubalance homoni na kupunguza stress na ni muhimu kwa afya ya viungo vya uzazi.

5. Wine Nyekundu (Red Wine)

Watafiti wa Italia hivi karibuni waligundua kuwa antioxidants na kilevi katika wine (divai) inaweze kusababisha kutengenezwa kwa nitric oxide katika damu ambayo husaidia kuta ya damu kupumzika kwahivyo kuongeza mtiririko wa damu katika viungo vya uzazi. Kunywa glasi moja au mbili tu, usizidishe. Ukinywa zaidi ya hapo utapunguza uwezo wako wa kufanya mapenzi.

6. Nyama

Nyama nyekundu ni chanzo kikubwa sana cha madini ya Zinc, madini ambayo ya husaidia kupunguza uzalishaji wa homoni iitwayo prolactin ambayo ina kiwango kikubwa sana katika kuchangia kupunguza uwezo wa kufanya mapenzi. Zinc pia ni madini muhimu katika kujenga misuli.

7. Maharage

Kula maharage kutakusaidi katika maisha yako ya mapenzi. Tafiti nyingi zinaonyesha kuwa maharage ya madini ya potassium ambayo inasaidia ku-control presha ya damu na mapigo ya moyo, kitu ambacho utahitaji pindi moyo wako unaopanza kufanya kazi ya ziada wakati wa tendo.

8. Samaki wenye mafuta

9. Oats

10. Oysters and other shellfish

11. Dark chocolate

Chanzo;umbeamtupu

Mkuu iyo spinach inayozungumziwa apo ni ipi? Maana ile ninayoijua mm si ile anayoijua mwingine.... Hebu tupe picha
 
Mimi naijua spinachi km hiyo kwenye picha baadhi ya watu wa mkoa wa iringa wanaita NYAMAGULUMELU yaani yenye miguu myeupe
 
Back
Top Bottom