Recent content by Voldemort

  1. Voldemort

    Makadirio ya gharama za ujenzi wa nyumba yenye vyumba vitatu

    Habari za leo wana JF 👋 Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kujua makadirio ya gharama za kujenga nyumba yenye vyumba 3 (Vyote master), sebule, dining, jiko, store, pamoja na choo cha wageni (public toilet).
  2. Voldemort

    Natafuta kiwanja Goba au Madale

    Wadau, natafuta kiwanja chenye sifa hizi: 1. Vipimo: 500-600 sqm 2. Location:Goba au Madale 3. Kiwanja kiwe flat na ardhi isiwe na maji maji 4. Documents ziwe clean na zimekamilika Offer yangu ni milioni 22 mpaka 24.
  3. Voldemort

    Msaada aliyewahi kufanya usaili kwenye nafasi hizi

    Job description kaka... Mchawi job description
  4. Voldemort

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ilikuwa Examination officer mkuu
  5. Voldemort

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Muhimu kujiandaa na kumtumaini Mungu. Last year October tuliitwa watu 1100+ kweny nafasi 2 . Tuliofanya Ni 500+ na oral tuliingia 23 na Kwa kudra za Allah katika Hao wawili Nami nikapata Kazi.
  6. Voldemort

    Examination Officer written interview

    Umeomba taasisi gani?.Mi nilipata nafasi hiyo hiyo
  7. Voldemort

    Msaada wa kisheria tafadhali.

    Wasalaam ndugu zangu, iko hivi Nilipata Kazi taasisi moja hapa Dar nikiwa mkoani mwanzoni mwa mwezi huu wa 12. Kutokana na kutokuwa na ndugu ambaye ningeweza kufikia kwake ilibidi nitafute chumba Kwa akili ya makazi. Nilipata chumba na nikalipia Kodi ya miezi 6 na kupewa mkataba na mwenye...
  8. Voldemort

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Shukran Sana kaka Nilifanya tarehe 4 October
  9. Voldemort

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ndio kaka, nimeanza panel 1 nkaunganisha na ya 2.
  10. Voldemort

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Dah me mwenyewe Leo nimepokea mkando hatari, nilifanya written juzi jumatatu kwa kazi 2 tofauti i.e EXAMINATION OFFICER na REGISTRATION OFFICER zote NECTA kila moja ikiwa na nafasi 2. Matokeo yametoka Jana nkipenya zote na kuingia oral.
Back
Top Bottom