Last seen may 2023 kama sikoseiKumbe Tunao humu Psrs wanatusoma tu
utapenya oralMREJESHO
Usaili wa kwanza utumishi
Nimepenya written
Nimeshafanya oral
Kweli jamii forum ni kisima Cha maarifa
Nimemuachia Mungu mkuu. Mimi nimefanya kadri ya nilivyojaaliwa na kuzingatia madini yote ya wakuu kama Mwifwa na mfwende sawadogoutapenya oral
Hongera sana, ilikuwa nafasi gani?MREJESHO
Usaili wa kwanza utumishi
Nimepenya written
Nimeshafanya oral
Kweli jamii forum ni kisima Cha maarifa
Mm nimetumiwa email niactivate account nimejaribu kulog in nakuta profile picha haipo..since morning najaribu kuappload picha inakataaJamani account yangu ya ajira portal inazingua nashindwa kulogin
Jamani account yangu ya ajira portal inazingua nashindwa kulog
Kwa sasa jikite mishe zingine huku ukiendelea kufuatilia kwa karibu placement hasa kuanzia December huko.Nimemuachia Mungu mkuu. Mimi nimefanya kadri ya nilivyojaaliwa na kuzingatia madini yote ya wakuu kama Mwifwa na mfwende sawadogo
Dah me mwenyewe Leo nimepokea mkando hatari, nilifanya written juzi jumatatu kwa kazi 2 tofauti i.e EXAMINATION OFFICER na REGISTRATION OFFICER zote NECTA kila moja ikiwa na nafasi 2. Matokeo yametoka Jana nkipenya zote na kuingia oral.MREJESHO
Usaili wa kwanza utumishi
Nimepenya written
Nimeshafanya oral
Kweli jamii forum ni kisima Cha maarifa
Mamlaka ya Mapato inapendwa na kila mtu kwahiyo kasoro za hapa na pale na malalamiko ya hapa na pale ni lazima yawepo. Taasisi ziachwe zitafute talent zitakazo fit mahitaji yao.Sababu kubwa ya kurudisha mamlaka ya kuajiri kwa taasisi husika kutoka Utumishi Mh. Rais alidanganywa kwamba ni kucheleweshwa kwa mchakato wa kuajiri kwa hiyo wafanyakazi hawapatikani kwa wakati.
Lakini kinachoendelea baada ya taasisi kurudishiwa mamlaka ni vichekesho.
Kwa mfano, TRA wamechelewa kuwaita watu na bado walipowaita palikuwa na makosa mengi kuanzia kuwaacha wenye vigezo mpaka siku ya mtihani kuna dogo ameniambia baadhi namba za mtihani zilifanana na wengine walijikuta wameitwa zaidi ya mara moja au mtu mmoja kupewa namba mbili tofauti. Mpaka sasa tunavyozungumza hata Oral haijulikani ni lini wala ni nani amefaulu!? Hivi huku ni kuboresha au kuharibu mifumo!
Changamoto ni kwamba taarifa zinazowaumiza wengi kama hivi huwa hazifiki kwa wenye mamlaka ila zinazowakwamisha wachache ni lazima zifike zikiwa na mkazo kwamba wanaoteseka ni wengi.
Ile issue ya TRA ndio kipimo tosha kwa taasisi kuajil wenyewe au lah, yan paka leo Oral haijulikan n lin, wala haijulikan watafanya practical au hapana, Nakumbuka utumish paka sasa hivi wangekuwa wameshamaliza kusahisha na wameshafanya oral. ila TRA imekuwa tofaut hata kutoa ratiba watu wafahamu tu kuwa vitu vitafanyika lini na lin
Mamlaka ya Mapato inapendwa na kila mtu kwahiyo kasoro za hapa na pale na malalamiko ya hapa na pale ni lazima yawepo. Taasisi ziachwe zitafute talent zitakazo fit mahitaji yao.
Hongera sanawakuu lazima tutoe mrejesho hapa
hatimaye nimeangukia halmashauri leo
Nawashukuru ndugu zangu
nawashukuru psrs
Hongera sana... Mungu awe nawe katika utumishi wako..!!wakuu lazima tutoe mrejesho hapa
hatimaye nimeangukia halmashauri leo
Nawashukuru ndugu zangu
nawashukuru psrs
Hongera sana,ni from Database??wakuu lazima tutoe mrejesho hapa
hatimaye nimeangukia halmashauri leo
Nawashukuru ndugu zangu
nawashukuru psrs
Mkuu! Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema na mwadilifu na ukachape kazi, hakika Mungu ni mwema. Kila la kheri mkuu katika utumishi wakowakuu lazima tutoe mrejesho hapa
hatimaye nimeangukia halmashauri leo
Nawashukuru ndugu zangu
nawashukuru psrs